Ni Uzuri kwetu tufahamu kuitwa Mtu na neo Utu. Jee!! kwanini tukose utu na sisi ni watu? Ni nani huyo anatarajia kupewa sifa ya utu wakati anakuwa mnafiki,mpenda majungu, mbinafsi, hapendi umoja katika jamii na AMANI. Tujisawazishe.

Views: 17

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service