Miongoni mwa tatizo kubwa kabisa yanayowakabili wanaume wengi ni kufika kileleni mapema, inasemekana katika wanaume kumi basi saba wana matatizo hili, hizi na takwimu za zisizo rasmi, wengi wanalalamika muda wanaotumia kati ya nusu dakika na dakika mbili, katika hatua ya kwanza wengine ikifika hapo hawana hamasa tena kimahaba.
Ndoa na wapenzi wengi wameachana kutokana na kasoro hii waliyonayo wanaume, wengi wameonekana 'si keki kwa wapenzi wao kwani jambo hili humsababishia kero mwanamke, ingawa kumekuwa na mafanikio katika tiba za miti shamba lakini wanaume wengi hawajapata ukombozi wa tatizo hili. wengi wamejikuta wakijiongezea mzigo wa fikra kwa kuzitumaini zaidi dawa za kienyeji, hulazimika kila jambo huzitumia dawa hizo na kutokezea kuzikosa aibu kubaki pale pale.
Kimsingi kanuni ya ufanyaji mapenzi iko zaidi kwenye ubongo kuliko mwilini, hii ijulikane wazi, kinachotokea hadi mtu akapata msisimko wa kufanya mapenzi si mwitiko wa mwili bali ni utambuzi wa akili juu ya kiwango cha mwanamke anaefaa kimapenzi.
Jambo kubwa linawafanya vijana wengi kufika mapemba kileleni ni PUPA, wengi wanapokea hisia zilizokuzwa na kwenda nazo ufanyaji mapenzi, wataalam wa saikolojia wanasema ili mwanamme achelewe kufika kilele mapema lazima apunguze mhemko unatokana na kuona, kuhisi na kupagawishwa na style ya chombezo toka kwa mwanamke.
Ushauri wa A'mlik bila kulionea haya jambo hili, Kutumia dakika 20 kufanya maandalizi, hii ndio njia ya kufanya mhemko ushuke na kuongeza muda wa kumaliza.
Aidha itumike mbinu ya kuidanganya akili ili kuzima taarifa za juu za uzuri wa mwanamke, au kukaza misuli ya miguu mfano kama ukishikwa na haja ndogo ukaizuia isitoke.
Zoezi hili linaweza kuwa gumu katika hatua ya kwanza kutokana kukosa muda sahihi wa kujizuia. Hii ni nasiha zangu ili ewe msomaji kuondokana na jambo hili, katika hili hakuna aibu na nimejaribu kutumia lugha nyepesi ili isiwe tusi kwa wengine.
A'malik
Andika Salamu
Maoni ya SHOMARI on April 6, 2010 at 8:58pm
Maoni ya chidy boy on March 27, 2010 at 2:26am
Maoni ya ahmed saleh ahmed on March 23, 2010 at 11:26pm
Maoni ya Hadidosty on March 23, 2010 at 10:19pm
Maoni ya Zilzal baghdad on March 23, 2010 at 3:23am
Maoni ya Al Mabrouk on March 23, 2010 at 1:17am
Maoni ya MAftah on March 22, 2010 at 7:03am © 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite