Salaam,

Natambulisha bidhaa yangu ambayo ni Mlonge.

Naanza na Unga wa majani ya Mlonge ni lishe, tiba na kinga, hutibu magonjwa kama shinikizo la damu, kupooza viungo au kufa ganzi, homa ya matumbo (typhoid), kuwashwa mwili, vidonda vya tumbo, malaria sugu, enia, upele, maumivu ya mgongo, kifua kubana, kiuno, macho n.k.

Baadae tutaendelea na sehemu nyingine ya mti huu wa mlonge.

Views: 296

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

Maoni ya Add on December 7, 2010 at 7:45am
Ok wanamtandao, tutaendelea kuwasiliana nakaa pembeni kidogo

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service