Habari za uhakika ni kuwa mfanyabiashara maarufu wa vinywaji hapo Marikiti kuu darajani amepigwa risasi na majambazi leo jioni hii.
Andika Salamu
Hivi sasa, wakiwa hai majeruhi hao na wanaendelea vizuri na majambazi walifanikiwa kupora milioni saba na saa za mkono,simu na vipambo vya mama.
NDIO ZANZIBAR NJEMA ATAKAE AJE !!
Maoni ya Al Mabrouk on January 13, 2012 at 11:44am Baniani mbaya kiatu chake dawa.
Sherehe za Mapinduzi ni muhimu kwa serikali zote mbili kuliko shida ya baniani.
Maoni ya Al Mabrouk on January 12, 2012 at 10:23pm Huku kikiwa na Sherehe za Mapinduzi zilizogharimu MILIONI MIA SABA.Majeruhi wa risasi wakosa huduma Hospitali ya mnazi mmoja na kulazimika kusafirishwa hadi Dareslaam.Kweli viongozi wetu wanajali wananchi au vyama vyao???
Maoni ya ForoZanzibar on January 12, 2012 at 9:48pm Walioshuhudia wanasema Mfanyabiashara huyo mwenye asili ya kihindi alivamiwa akiwa amefuatana na mkewe wakirudi nyumbani wakiwa na fedha kiasi cha saa kumi na moja na robo jioni.
Maoni ya Mathna Ahmed on January 11, 2012 at 11:35pm kweli?mbona hakuna reference habari hii imetolewa wapi?
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite