Jee Mungu ananufaika chochote na ibada yako?? Hanufaiki chochote ila Mungu hufurahi wewe ufanye ibada ili upate manufaa.Ukijiona hunufaiki chochote na ibada zako basi ujue zina mushkeli kwasbabau Mungu ametupa ibada ili zitunufaishe.

Views: 15

Kurasa: Ibada, Islam, Mawaidha

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service