MAFISADI HASA NI AKINA NANI TANZANIA?


"Kati ya Mwaka 1977 na 1982 hali ya uchumi hapa Tanzania ilididimia sana.Na kwakweli ilifanya maisha ya watu kuwa magumu. Bidhaa za kawaida na muhimu zilitoweka kabisa. Ili watu wapate dawa ilibidi wapitie 'mlango wa nyuma. Rushwa na hongo vilizidi. Mwishoe maneno haya 'mnyonge hana haki' yalizidi kusikika.

Kwanini viongozi wa Kanisa (walikuwa) wanasita kukosoa Serikali na Chama hali wakiona mambo yalivyo?

Wakati wa hali ngumu ya uchumi Kanisa halikutoa kauli yoyote. Viongozi wa Kanisa walisita kuikosoa Serikali kwa vile:

1. uongozi wa juu wa Kanisa tayari ulikuwa na uelewano mkubwa na watawala wa serikali.
2. Kanisa liliruhusiwa na serikali kuingiza vitu vingi nchini bila ushuru wala kodi.
3. Vitu vya miradi ya maendeleo pamoja na vile vya ujenzi vilianza kuagizwa na mwishoni hata mahitaji ya kawaida ya viongozi wa Kanisa.

Mambo yote haya yalipunguza makali ya hali ngumu kwa viongozi wa Kanisa na kuwaweka katika nafasi yenye nguvu ya kiuchumi".






My Photo

Dr Wilbrod Peter Slaa

About Me

EMPLOYMENT HISTORY Company Name Position From Date To Date Tanzania Society for Blind Managing Director 1992 1998 Tanzania Episcopal Conference Secretary General 1985 1991 Diocese of Mbulu Development Director 1982 1985 Diocese of Mbulu Vicar General 1982 1985 Diocese of Mbulu Development Director 1977 1979 Diocese of Mbulu - Roman Catholic Church Padre 1977 1991 -------------------------------------------------------------------------------- POLITICAL EXPERIENCE Ministry/Political Party/Location Position From To CHADEMA Principal Secretary 2002 CHADEMA Vice Chairman 1998 2002 CHADEMA Member of Parliament (Karatu Constituency) 1995 Todate CHADEMA Member of National Executive Committee 1995 - Chama Cha Mapinduzi - CCM Secretary Foreign Branch(Rome) 1980 1982 Youth Union -TANU Secretary 1974 1977 TANU Chairman (Kipalapala Branch) 1974 1977 [ Retrieved on 13/7/2006 - www.parliament.go.tz ]


Wakati wa kipindi (1977 -1982) hicho alichotaja Dr.John Sivalon katika kitabu chake, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa CHADEMA alikuwa bado KIONGOZI WA KANISA KATOLIKI. NAOMBA NIULIZE SWALI KWA KUHITIMISHA


JE MAFISADI HASA NI AKINA NANI TANZANIA?


Dikupa Dikupatile Dikilema (cheko lenye afya)

Views: 140

Kurasa: Makala

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

Maoni ya mohammed salum aliy on April 4, 2011 at 5:19pm
Kwa kweli ndugu zangu tuelezane ukweli tukiamua kutafuta fisadi hapa Tanzania wengi watajikuta katika mkumbo wamo.........lakini naomba ieleweke kwambaufisadi upo na unaendelezwa, kilichopo mbele ya wale wanaoitwa wapambanaji ni ajenda tu ya kutaka umaarufu na uongozi kwani ufisadi ulikuwepo siku nyingi kwanini walishindwa kuukemea?
Maoni ya JOGOOO on April 3, 2011 at 10:36am
ndugu yangu dikupa fisadi yupo pahali popote pale sio lazima nchini Tanzania na fisadi haifai kumueka katika nafasi za juu hata kwa dakika moja nikirudi nyuma fisadi ni yule anae jilimbikizia mali ya uma kwa manufaa yake na watoto wake wala hawa hawajali kuzorota kwa maisha ya wananchi au kukosekana madawa au vitu muhimu vya matumizi ya maisha.kuna nchi nyingi sasa wanapambana na ufisadi kwa ajili ya raia zaoTanzania ikiwa ni moja wapo.
Maoni ya Al Mabrouk on October 7, 2010 at 8:52am
Asante Dikupa kwa kutupatia Data hizi.

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service