"Kumpenda Mtume (S.A.W) si kumsifu, bali kumpenda Mtume ni kumfuata". Mtume hakutaka asifiwe, bali Mtume alitaka afuatwe. Uthibitisho kamili Qur-an Sura (3:31), "Sema: ikiwa nyinyi mnampenda Allah basi nifuateni mimi, Allah atakupendeni, na atakufutieni dhambi zenu".
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite