Andika Salamu
Maoni ya Al Mabrouk on January 7, 2012 at 10:01pm Huu mwezi wa nne sasa viongozi hata wameshindwa kuzungumzia suali la watu zaidi ya elfu tatu waliokufa kwa uzembe katika majumuisho yao ya mwaka.Lakini katika kulinda madaraka yao katika vyama basi ni wakali sana wala hawana MUHALI wala urafiki.
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite