AISHA (R.A) AMEELEZA KUWA:
“Mjumbe wa Allah alisikia sauti kali za ugomvi nje ya mlango, mmoja wao alimtaka mweziwe apokee sehemu ya deni alilokuwa akimdai na amvumilie kwa kiasi kilicho salia,
lakini yule mwingine alisema, ‘WAllah (swt). Sitofanya hivyo! Mjumbe wa Allah alitoka nje na kusema, ‘Yuko wapi anayeapa kwa jina la Allah (swt) kuwa hatofanya amali njema?
‘Yule mtu alisikia fedheha aliposikia sauti ya Mjumbe wa Allah, ikimkaripia na kumwonya,; hivyo aliacha madai yake, akisema, ‘Nilikuwa mimi, Ewe Mjumbe wa Allah, anaweza kutoa atakacho.” (Bukhari na Muslim)
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite