Mahitaji

Nazi 1 kavu sana
sukari vijiko 4
rangi
maji vikombe vya kahawa 2
b/powder

Namna ya kupika

Changanya maji na sukari halafu chemsaha mpaka itoe povu,tia nazi na b/powder na rangi,koroga mpaka ianze kushikana tia ndani ya sinia lililopakwa mafutwa,kabla hazijaanza kuganda kata.


Mpishi ni fawadhy@hotmail.com

Views: 106

Kurasa: Mapishi, Vitamtam

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service