Thawabu za Ijumaa, Huanza Al-Khamisi,
Mola akupe Wasaa, Mazito yawe Mepesi,
Yarabi akujalie taa, Nuru kama Almasi,
Atupe sote Shufaa, Atuepushe na Maasi,
Peponi Twende Kukaa, Vinywaji Gilasi kwa Gilasi,
Nawatakia kila Faraja, Peponi Muingie Bila Pasi.
AMIIN IJUMAA KARIM.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite