Hakika wenye akili ni watu watatu -:
1. Mwenye kuiacha Dunia kabla Haijamuacha.
2. Mwenye Kujenga Kaburi Kabla Hajaingia.
3. Mwenye kumridhisha Allah Kabla hajakutana naye.

Tuungane na wenye akili ili tupate kufanikiwa. Insha'Allah Mola atuwezeshe.
Amiin.

Views: 131

Kurasa: Udii

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service