kwanza natoa salam,< ASSALAAM ALYKUM>
Wapendwa wasomaji. Tuliko toka ni mbali sana na hatuna budi kumshukuru M/Mungu .. tulikuwa vipofu wa nchi tusio jua linaloendelea katika nchi (ZANZIBAR na TANGANYIKA) kwa ushirikiano wa watu walioitakia mema ZANZIBAR walipanga shauri ya kuunda Chama ili kufikisha ujumbe kwa wannchi wote. Badhi yao walikuwa wafanyakazi walio acha kazi zao na wengine kuacha hata kuwasaidia wanawao kwa kwa kufikisha ujumbe wa kuwa dhulma tulionao inapaswa tuiondoe! hasara kubwa wau iliwapata ikiwa ni kuweka ndani (JELA) kichura kulala saa mbili,,,. kufukuzwa makazini... kuuliwa kisirisiri na hadharani.. yote hayo hatuyakumbuki tunaoyoyakumbuka ni yale yajayo tuuuu>>>
Mm machoz yaanitoka kuona mtu kiongozi anaeheshimika leo anawasaliti na kuyasahau yote yaliopita hali ya kuwa yy anamaisha mazuri yy na familia yake eti sababu ya madaraka LOOO HERI AENDE HUKO OOO ss basi.. MSALITI MKUBWA LOOOO LOOO LAANA ZA WATU NI BORA KUPIGWA RISASI SS HATUKULANI LAKIN ....
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite