yapo mambo mengi saaana duniani ambayo huja na kupita.mengi huwa tunayaona mageni pale tunapo yaona kwa mara ya kwanza.mfano vazi la suruali kwa wanawake. vazi hili miaka ya 80 halikuwepo hapa kwetu tanzania.miaka ya 90 vazi hili lilianza kutumika japo watumiaji walipata vipingamizi vingi sana kama kubakwa,kuzomewa,kutengwa, nk.watu hao walionekana katika jamii kama wasaliti wa mila.hata hivyo mpaka sasa jamii imekwisha kubali matokeo.

KINACHO NIPA HOFU..

hivi sasa SHETANI Anampango mbaya wa kuhakikisha Anachota kundi kubwa la watu atakalo ingia nalo motoni kama alivyo ahidiwa na mwenyezi mungu.shetani huyo kaamua kupitia.au kufanya kazi zake kupitia tekinorojia.ameweka mawakala wengi duniani hata hapa kwetu tanzania ina semekana wapo.

Views: 19959

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

Maoni ya dr.zedy phones on July 18, 2011 at 11:31am
karim jee kwanini usitoe somo hapa ili tuone faida au hasara zake?maana inasemekana mtu akijiunga kamwe hawezi kujitoa tena. so kwanini mtu ajaribu?
Maoni ya Karim Jee on July 15, 2011 at 9:28am
Hai. Nimeona kuwa wadau wanauliza maswali mengi sana kuhusu freemasons. Kama Kuna yeyote agependa kujiunga nasi anaweza kuwasiliana nami kupitia karim796@live.com. Tunaamini kuwa freemasonry huaza moyoni mwako na hatualiki watu ila unajiunga kwa hiari yako mwenyewe. Lazima uwe unaweza kuandika na kuzungumza kiingereza.
Maoni ya Abu Hamza on February 19, 2011 at 5:01pm
Maoni ya Abu Hamza on February 19, 2011 at 4:58pm
Hii ni picha ambayo unamkuta Baba yake Geoge walipokua Yale university wakiwa katika picha ya ya ya Maskull bones http://www.google.co.tz/imgres?imgurl=http://library.thinkquest.org...
Maoni ya Abu Hamza on February 19, 2011 at 4:56pm
Maoni ya Abu Hamza on February 19, 2011 at 4:49pm
Dada mason ni dini ya kuabudia mashetani....inaaminika Free masons ndio walioharibu Injili asilia na kutengeneza hizi biblia zinazosomwa na makanisani, kiujumla free mason ni aina ya ukristo unaoabudia shetani waziwazi...kama vile walivyo Skull bones, unaweza kusachi katika google kwa maelezo zaidi....hata maaskofu wana bibilia za uchawi ambazo huoneshea maajabu makubwa watu kwa nguvu za shetani kama alivyo kakobe juu ya uchawi aliojifunza Nageria nk.
Maoni ya fransisca peter njau on February 19, 2011 at 3:54pm
asalaaam alekh kwani freemason huwa ni kanisa au msikiti? je mtu akijiunga unakuaje? masonic wote ni wakrito peke yao?
Maoni ya Seira liban on November 22, 2010 at 10:32am
Kwa nini unasema na shaka kama wapo na wapo wengi tu ukipinga usagaji na ubaradhuli unaonekana wa ajabu sana inye imepewa kipa umbele, madawa ya kulevya, ukanadmizwaji wa wanyonge bado unawasisi wa kuwa hapa Tanzania tuna agents wapo wengi tu wanawake sisi tunapenda kurambana masikio kwa kusengenya ovyo. Hao ni maiblisi dear
Maoni ya Sia Abdallah on November 7, 2010 at 4:13pm
eheeeee!
mola tustiri na haya maswahibu ya dunia leo hii mtu anabudu shetani? kwani tunaenda wapi na haya mambo yetu ya kuiga? jamani tumrudie mungu, tumche mungu yaani Allaah muumba mbingu na dunia. elewa furaha ya duniani ya mda tu kwa akhera kuhesabiwa.
Maoni ya Abu Hamza on November 7, 2010 at 11:26am
Free Masons ni hatari sana

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service