FALSAFA YA QUR-AN KWA UCHUNGUZI WA MAJINI WA KISHEITWAN

Dalili za kupatwa na Majini wa Kisheitwan kupitia katika kuharibu uzazi.

1.Kuota unazaa (2)Kulea mtoto (3)Kunyonyesha (4)Kufura kwa tumbo n.k

1.Kuota kufa mtoto na huenda likatokea tukio hilo.

2.Kufa kizazi cha kiume na kikabaki cha kike,kama vile zama za Firauni Laanat Alyh,pia mara nyengine 

   hutokea kufa wa kike wa kiume kubaki pia kutokea tukio hilo.

3.Kuota kupelekwa kaburini kuchukua mtoto au kuzika.

4.Umwagaji wa damu sana wakati wa ujauzito(bleeding)

5.Kuharibika damu piriad.(Period).

6.Kutokupata siku kabisa mpaka apate visomo ndio itafunguka damu,hiyo.

7.Kutoka maji ya harufu mbaya katika sehemu zake za siri,muwasho,vipele,fangas,uvimbe kupiga rangi 

   manjano au kijani au mabaranga meusi au mabuje mekundu n.k

8.Kuingiliwa hali uko usingizini au hali ya kua uko macho.(ijimaa).

9.Kuota vitisho vya kiajabu mara kwa mara.

10.Kuota ndoa (Arusi).

Kwamuda huu tuangalie hayo kumi(10) tu kama yalivyoelezwa na mwandishi.

siku ziendavyo inshallah ALLAH akitupa uhai na uzima tutazidi kueleza zaidi na zaidi.                Nakutakieni Ijumaa njema na yenye barka ndani yake "amiin"

Views: 32

Kurasa: a

Andika Salamu

Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!

Join Zanzibarwebsite

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service