MDALASSINI NI MTII AMBAO UNAOTA SEHEMU YA JOTO LA WASTANI WA NYUZI JOTO 28 HADI 39 KATIKA MBALI MBALI DUNIANI, KAMA VILE AFRIKA YA MASHARIKI TANZANIA , ZANZIBAR, COMORO, MADAGASCA, MAURISHAZ, , USHELI SHELI INDIANA KWENGINEKO.
MDALASSINI UCHUNWA MAGAMBA NA KUANIKWA NA KUWA CINNAMON BACK.
FAIDA ZA MDALASSINI
FAIDA ZA MDALASSINI NI NYINGI MNOO ILA ZIMEGAWIKA SEHEMU KUU MBILI,
MDALASSINI NI KICHOCHEO KWENYE CHAKULA (SPICE)
LAKINI PIA NI DAWA KWA BINADAMU,
TUKIANZIA MDALASINI NI KUINGO MUHIMU KWA CHAKULA CHA MWANADAMU KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU, HUTUMIWA KATIKA MAPISHI MBALI MBALI KAMA VIILE BIRIANI ,PILAU,CHAI, MAZIWA, KUOKA KEKI, MIKATE MCHUZI , N.K ILI KUMFANYA MLAJI AWE NA HAMU YA KULA PAMOJA NA HARUFU NZUURI YA LADHA YA CHAKULA HUSIKAA,
LAKINI SEHEMU YA PILI UPANDE WA DAWA MDALASSINI NI IMETAMBULIKA NI DAWA KUMBWA TUU YA KUPUNGUZA UNENE PAMOJA NA KILO KWA WALE WATU WENYE UZITO MKUBWA NA UNENE MKUBWAA, UNATAKIWA UKOROGE UNGA KIJIKO KIMOJA NA MAJI MOTO UNJWE ASUBUHI KABLA YA KULA CHOCHOTE,
PILI MDALASSINI HUSAIDIA KWA KIWANGO KIKIBWA UTENGENEZAJI WA CHEMBE CHEMBE ZA DAMU NDANI YA MWILI WA MWANADAMU, UKIUUCHANGANYA NA MAFUTA YA HABBAT SODA UNAKUNYWA KIJIKO CHA CHAKULA KIMOJA MARA MBLI KWA SIKU ASUBUHI NA JIONI ,
TATU, HUSAIDIA KURAHISHISHA UPATIKANAJI WA CHOO HARAKA , KWA KUUNYWAA NA MAJI YA VUGUVUGU ASUBUHI KABLA YA KUNYWA WALA KULA KITU CHOCHOTE ,
NNE, MDALASSINI UKUPEVUKA KLATI YA MIAKA 30 NA 40 HUGEUKA LADHA BADALA YA UTAMU KIDOGO HUWA MCHACHU MKALI MKALI, HUU HUTUMIWA KAMA DAWA ZA MATATIZO YA KINAMAMA , HUSEMA MONTHLY PROBLEMS,
WENYE KUPITILIZA SIKU ZAO NA MAGONJWA SUGU YA TUMBO HUUCHEMSHA MUDA MREFU KAMA DAKIKA 45 MFULULIZO, KISHA UKIPOWA HUUNJWA NI DAWA MJARABU WA MATATIZO YAO.
TANO MZIZI WA MDALASSINI NDIO UNA MAAJABU SASA , HARUFU YAKE NI SAWA NA MENTHOL, AMA VICKS VAPUROOB , HUTUMIKA KAMA DAWA YA MAFUA, KIFUA NA HATA PUMU KWA NJIA YA STEAMING,
WAPENDWA KWA LEO NITASIMAMIA HAPO NAKARIBISHA MASWALI WENYE UTATA , HUKU NIKIIANDAA MAKALA NYENGINE ,
AHSANTENI KWA KUISIOMA NA KUIFAHAMU HII TOPIC ,NAWAPENDA WOTEE
Andika Salamu
Maoni ya Hussein A. Sajan on February 11, 2012 at 4:34pm
Maoni ya Juma N on February 11, 2012 at 1:17pm Nimeridhika ndugu yangu na majibu yako na nashukuru sana kwa kutenga muda wako muhimu ili kutuelimisha.. Ila nina swali dogo la nyongeza toka kwenye swali langu la msingi.. Je ni kiasi gani cha mdalassini kinatakiwa kuliwa na mtu anayetaka nguvu (mjarabu)? Na je matumizi ni kila siku au ni mara ngapi kwa wiki? Mimi nimeshanunua mdalassini wangu tayari nasubiri tu maelekezo yako ndugu yangu! Shukrani sana!
Maoni ya bushako on January 30, 2012 at 9:20am ahsante ndugu yangu JUMA N,
swali lako zuri hii ni kwamba maelezo yangu umeyaelewa maana swali ni sehemu ya ufahamu
kuhusu kuongeza nguvu huu mdalassini , ni kwambwa, upunguvu wa nguvu za kiume hutokana na upinzani mkubwa wa upitishaji wa mfumo damu sehe mu ya kiungo husikaa, kwa vile mdalassini unawo uwezo wa kutengeneza mfumo damu ilo bora na kuiongeza hiyo damu hii ni wazi kuwa inasaidia damu kupita ile sehemu bila upinzani na kufanya kiungo husika kutumika sawa bib sawiya,
ukisikia ana mapunguvu basi ukipewa dawa ni kufumuwa mfumo wa damu ile sehemu yenye kuwajibika na hilo tendoo , unapewa dawa na kupitisha na kusafirisha mfumo damu kwa uhakika na ndio nguvu huipatikana na kuitwa mjarabu , hata mazoezi ukifanya basi hupelekea kila kiungo kupitisha mfumo damu vizuri na kukuweka hali ya kuwa na nguvuu ,
kama hujaridhika tafadhili uliza tena
ahsantee kwa swali zurii
Maoni ya Juma N on January 28, 2012 at 1:52pm Mada nzuri kwa kweli, na tumejifunza mengi... Napenda kuuliza, Je Mdalassini huwa haiongezi hamu kwa akina baba? Yaani Ashki katika tendo?
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Lazima uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kuweka ujumbe!
Join Zanzibarwebsite