Mwezi wa mfungo sita kwa karne kadhaa hivi sasa waislamu wamejizowesha hadi yakawazowea mapenzi yao ya kukumbuka uzawa wa Mtume Muhamad (S.A.W) na kwa ajili hiyo hufanya majumuiko ya kumsalia nakumtakia rehma, huku…
ASSALAM ALEYKUM
KWA MARA NYINGINE TENA, NILIAHIDI KUWALETEA FAIDA ZA KIUNGO KINGINE , LEO NAWALETEA MANJANO ;
WENGI WETU TUNAIJUWA MANJANO NYUMBANI KWETU NA TUNAITUMIA KWA MATUMIZI YA KAWAIDA KAMA VILE , KUBADILI RANGI YA VYAKULA KAMA MCHUZI , WALI, SAMAKI , NYAMA, HATA KUBADILI RANGI ZA NGUO KAMA T-SHIRT NA MENGINEYO,
ILA NITAJARIBU JAPO KIDOGO KUTOWA KWA MUKHTASARI FAIDA ZAIDI MBALI NA…
Endeleaimeingizwa na bushako tarehe February 23, 2012 saa 9:49am — Hakuna maoni
imeingizwa na NASSER tarehe February 21, 2012 saa 3:01pm — Hakuna maoni
Ndugu Zangu.
Kwakuwa mimi ni binadamu kama binadamu kama binadamu yoyote yule, udhaifu wangu nimeuona toka mwaka huu kuingia, niweke wazi kwamba mm Abdullmalik Nasser nimepata mke hapa hapa ukumbini udhaifu wangu kwa kwanza ni uchoyo wa kutokualikeni harusi wana ukumbi wenzangu hii nimeifanyia utafiti nikagundua kuwa wivu umechangia kwa hili.
kadhalika sitopenda kumtaja mwenza wangu ila katika masharti yetu…
Endeleaimeingizwa na Abdullmalik tarehe February 12, 2012 saa 8:29am — Michango 5
Nimeonelea makala yangu hii nianze kwa njia ya maswali juu ya swahiba wa mtume rehema na amani ziwe juu yake.
Huyu ni Abdullah ibn abu kuhafa (aswiddiq) kama ajulikanavyo alimpenda sana rasulillah saw
>akawa kama bodigadi wakitembea anapinda njia huku nahuku kumzingira habibullah.
>Katajwa katika qurani waziwazi surati A taubah
>Katajwa katika surati Laily na nyinginezo
>Mwanaume bora baada ya mitume na manabii (yaani yeye ndo…
Endeleaimeingizwa na maulid idrissa tarehe February 10, 2012 saa 3:37pm — Michango 2
بسم الله الرحمن الرحيم
الأسرة السعيدة - الوصايا العشر FAMILIA BORA- NYASIA KUMI UTANGULIZI: Familia ni taasisi ya kimalezi ya mwanzo ambapo muislamu anapata thamani na tabia zake. Kwa sababu hii familia ni kituo muhimu… |
imeingizwa na ibrahim said tarehe February 4, 2012 saa 5:38pm — Hakuna maoni
Mwezi wa mfungo sita kwa karne kadhaa hivi sasa waislamu wamejizowesha hadi yakawazowea mapenzi yao ya kukumbuka uzawa wa Mtume Muhamad (S.A.W) na kwa ajili hiyo hufanya majumuiko ya kumsalia nakumtakia rehma, huku…
imeingizwa na Al-Udii tarehe February 4, 2012 saa 1:17am — Hakuna maoni
MDALASSINI NI MTII AMBAO UNAOTA SEHEMU YA JOTO LA WASTANI WA NYUZI JOTO 28 HADI 39 KATIKA MBALI MBALI DUNIANI, KAMA VILE AFRIKA YA MASHARIKI TANZANIA , ZANZIBAR, COMORO, MADAGASCA, MAURISHAZ, , USHELI SHELI INDIANA KWENGINEKO.
MDALASSINI UCHUNWA MAGAMBA NA KUANIKWA NA KUWA CINNAMON BACK.
FAIDA ZA MDALASSINI
FAIDA ZA MDALASSINI NI NYINGI MNOO ILA ZIMEGAWIKA SEHEMU KUU MBILI,
MDALASSINI NI…
Endeleaimeingizwa na bushako tarehe January 28, 2012 saa 11:59am — Michango 4
imeingizwa na ALLY BANANI tarehe January 26, 2012 saa 5:11pm — Hakuna maoni
AISHA (R.A) AMEELEZA KUWA:
“Mjumbe wa Allah alisikia sauti kali za ugomvi nje ya mlango, mmoja wao alimtaka mweziwe apokee sehemu ya deni alilokuwa akimdai na amvumilie kwa kiasi kilicho salia,
lakini yule mwingine alisema, ‘WAllah (swt). Sitofanya hivyo! Mjumbe wa Allah alitoka nje na kusema, ‘Yuko wapi anayeapa kwa jina la Allah (swt) kuwa hatofanya amali njema?
‘Yule mtu alisikia fedheha aliposikia sauti ya Mjumbe wa Allah, ikimkaripia na kumwonya,;…
Endeleaimeingizwa na Dikupa tarehe January 25, 2012 saa 5:06pm — Hakuna maoni
imeingizwa na m^!sh^+ mbwa kala mbwa. tarehe January 25, 2012 saa 2:11pm — Hakuna maoni
imeingizwa na Sumiyati tarehe January 19, 2012 saa 11:13am — Hakuna maoni
imeingizwa na FAIQA tarehe January 17, 2012 saa 7:10pm — Hakuna maoni
Habari za uhakika ni kuwa mfanyabiashara maarufu wa vinywaji hapo Marikiti kuu darajani amepigwa risasi na majambazi leo jioni hii.
imeingizwa na ForoZanzibar tarehe January 11, 2012 saa 8:30pm — Michango 7
imeingizwa na Al Mabrouk tarehe January 7, 2012 saa 9:52pm — Mchango mmoja
kwanza natoa salam,< ASSALAAM ALYKUM>
Wapendwa wasomaji. Tuliko toka ni mbali sana na hatuna budi kumshukuru M/Mungu .. tulikuwa vipofu wa nchi tusio jua linaloendelea katika nchi (ZANZIBAR na TANGANYIKA) kwa ushirikiano wa watu walioitakia mema ZANZIBAR walipanga shauri ya kuunda Chama ili kufikisha ujumbe kwa wannchi wote. Badhi yao walikuwa wafanyakazi walio acha kazi zao na wengine kuacha hata kuwasaidia wanawao kwa kwa kufikisha ujumbe wa kuwa dhulma tulionao inapaswa…
Endeleaimeingizwa na Ali Hamad tarehe January 7, 2012 saa 9:23am — Hakuna maoni
imeingizwa na Al-Udii tarehe January 7, 2012 saa 9:12am — Hakuna maoni
imeingizwa na Al-Udii tarehe January 6, 2012 saa 10:47am — Hakuna maoni
Dalili za kupatwa na Majini wa Kisheitwan kupitia katika kuharibu uzazi.
1.Kuota unazaa (2)Kulea mtoto (3)Kunyonyesha (4)Kufura kwa tumbo n.k
1.Kuota kufa mtoto na huenda likatokea tukio hilo.
2.Kufa kizazi cha kiume na kikabaki cha kike,kama vile zama za Firauni Laanat Alyh,pia mara nyengine
hutokea kufa wa kike wa kiume kubaki pia kutokea tukio hilo.
3.Kuota kupelekwa kaburini kuchukua mtoto au kuzika.
4.Umwagaji wa damu sana wakati wa…
Endeleaimeingizwa na m^!sh^+ mbwa kala mbwa. tarehe December 22, 2011 saa 7:55pm — Hakuna maoni
Dalili za kupatwa na Majini wa Kisheitwan kupitia katika kuharibu uzazi.
1.Kuota unazaa (2)Kulea mtoto (3)Kunyonyesha (4)Kufura kwa tumbo n.k
1.Kuota kufa mtoto na huenda likatokea tukio hilo.
2.Kufa kizazi cha kiume na kikabaki cha kike,kama vile zama za Firauni Laanat Alyh,pia mara nyengine
hutokea kufa wa kike wa kiume kubaki pia kutokea tukio hilo.
3.Kuota kupelekwa kaburini kuchukua mtoto au kuzika.
4.Umwagaji wa damu sana wakati wa…
Endeleaimeingizwa na m^!sh^+ mbwa kala mbwa. tarehe December 22, 2011 saa 7:55pm — Hakuna maoni
Sababu kubwa kuandika mada hii fupi juu ya ukweli ulokithiri ya baadhi ya wapenzi wasiokuwa na malengo, hivyo ndugu usikubali kabisa mtu akuchezee, tafuta mtu mwenye malengo ujue nini kakusudia juu yako isiwe anataka kusogeza siku tu kisha anakupotezea.
Nimefanya uchunguzi wa kina, nikagundua wapenzi wengi hapa kwetu unguja wanapenda uhusiano wa majaribio, je wewe ni wa majaribio? sasa kwa nini basi unamruhusu mtu aingie kwenye historia yako wakati lengo lake ni kupita tu…
Endeleaimeingizwa na Abdullmalik tarehe December 13, 2011 saa 9:27am — Hakuna maoni
2012
2011
2010
2009
1999
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.