Marafiki wa Zanzibarwebsite.com'

  • tatu kitego
  • Jamila Mohamed Diria
  • ATHUMANI HAMADA
  • noel john francis
  • saidi sambala
  • Handsome
  • Juma Muhidin Salum
  • bahati protas
  • sufiyan bin abdullah
  • Emmanuel Ace
  • abdullatif abdi ali
  • William Philemon Mwakisu
  • munir
  • Danger
  • KHALIFA MIHANJAMO

Taarab

Loading…

zanzibarwebsite.com's Groups

Mijadala ya zanzibarwebsite.com'

Hongera Babengwa

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na JOGOOO May 10, 2011. 9 Majibu

Tahadhari!!!

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Ta1m0ur Jun 2, 2009. 9 Majibu

Uchaguzi wa Mwanchama Bora

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na zanzibarwebsite.com Jun 11, 2009. 2 Majibu

Chat Mpya

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Mtarimbo Aug 24, 2009. 2 Majibu

Ning Status

Loading… Loading feed

 

Ukumbi wa zanzibarwebsite.com

Matukio ya Karibuni

zanzibarwebsite.com shared their blog post on Facebook
May 15
zanzibarwebsite.com posted a blog post

Man City imejinyakulia rekodi ya dola milioni 98

Malipo ya matangazo iliyopata Man City imevunja rikodi katika ligi ya Uingereza baada ya Klabu hiyo kupata dola milioni 98.Nusu ya mapato yanayotokana na kuonyeshwa ligi hiyo katika TV za nje na ndani hugawiwa sawa kwa klabu zote ishirini zinazoshiriki ligi hiyo Kuu ya Uingereza.Ligi hiyo imetangaza siku ya Ijumanne kuwa kila klabu ilipokea mgao sawa wa dola za kimarekani milioni 22.1 kutoka kwa TV za nyumbani na dola milioni 30.1 kutoka kwa TV za nje pamoja na dola milioni 1.2 kutegemea na…See More
May 15
MOH'D ALI AMOUR amewacha salamu kwa zanzibarwebsite.com
"Asalamamu alaiku enyi wapenzi wa zanzibar website mambo vp ujumbe swali kabla ya kuswaliwa"
Apr 17
profmpenza commented on zanzibarwebsite.com's group 'Chelsea'
"semifinal. chelsea 3-0 tottenham, chelsea 4-1 Barca"
Apr 15
salim moh'd abdalla amepongeza ukumbi wa zanzibarwebsite.com
Apr 5
Avitus Rutechura. kamala commented on zanzibarwebsite.com's group 'Liverpool FC'
"Jaman mbona liverpool wanakosa mech"
Mar 24
TASHAMATSH amewacha salamu kwa zanzibarwebsite.com
"asalaam alaikum natumia fursa hii kukujulisha kuwa mm ni mmoja wa washiriki katika ukumbi huu tokea uwanze na sijapata kukosana namtu wala  watu hapa ukumbini jambo la kushangaza ume waaajiri watu ambao wanta utumia ukumbi ni pahala pa riziki…"
Mar 21
TASHAMATSH amewacha salamu kwa zanzibarwebsite.com
"asalaam alaikum warahmtullahi wa barakatu   napenda kuchukwua nafasi hii kukuarifu jee ukumbi huu una waaajiri watapeli ??ama wanawake wasio hehsimaaa ??? ikiwa kwani ulio wapa ukubwa wana utumia kwa njia wanayo taka wao na hasa huyu…"
Mar 20

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Muafrika, Mwarabu
Umri (Age)
41
Urefu (Height)
155cm
Ndoa (Marital Status)
Nimeowa
Watoto (Children)
Wawili
Kazi (Occupation)
Bosi kubwa wa Zanzibarwebsite
Burudani (Hobbies)
Muziki,Kusoma,Ibada
Dini(Religion)
Muislamu

zanzibarwebsite.com's Videos

  • Ingiza Videos
  • Angalia zaidi

Makala za Zanzibarwebsite.com

Man City imejinyakulia rekodi ya dola milioni 98

Imetumwa tarehe May 15, 2012 saa 8:35pm — 0 Maoni

Malipo ya matangazo iliyopata Man City imevunja rikodi katika ligi ya Uingereza baada ya Klabu hiyo kupata dola milioni 98.



Nusu ya mapato yanayotokana na kuonyeshwa ligi hiyo katika TV za nje na ndani hugawiwa sawa kwa klabu zote ishirini zinazoshiriki ligi hiyo Kuu ya Uingereza.



Ligi hiyo imetangaza siku ya Ijumanne kuwa kila klabu ilipokea mgao sawa wa dola za kimarekani milioni 22.1 kutoka kwa TV za nyumbani na dola milioni 30.1 kutoka kwa TV za nje pamoja na dola…

Endelea

Eid Mubaarak

Imetumwa tarehe September 20, 2009 saa 11:36pm — 1 Maoni

TAMBI ZA KUKAANGA

Imetumwa tarehe February 21, 2009 saa 9:18pm — 1 Maoni

Mahitaji



Tambi

Mafuta

Sukari

Hiliki,lozi zilizokata na zabibu,na vanilla[kama unapenda]



Namna ya kupika

Chukuwa chuma teleka tia mafuta kiasi tu sio mengi yakipata moto mimina tambi kaanga geuza pande nyengine lakini zisiwe nyekundu zote nyengine ziwe nyeupe

Ukimaliza chuja mafuta tia maji kwenye zile tambi na sukari na hiliki funika eka moto mdogo mdogo ili zipate kuiva vizuri zigeuze geuze baadae tia lozi na zabibu… Endelea

VILEJA VYA TANGAWIZI

Imetumwa tarehe February 21, 2009 saa 9:08pm — 1 Maoni

Mahitaji



* SUKARI ROBO KILO

* UNGA KILO KASOROBO

* SIAGI VIJIKO VINNE VYA SUPU

* SAMLI VIJIKO VINNE VYA SUPU

* MAYAI MAWILI

* BAKING POWDER KIJIKO CHA SUPU KIMOJA

* TANGAWIZI YA UNGA VIJIKO VYA SUPU VIWILI



Namna ya kupika

ISAGE SUKARI YAKO IWE LAINI, CHANGANYA NA SIAGI UZURI, TIA MAYAI NA TANGAWIZI ENDELEA KUVURUGA KISHA TIA UNGA NA BAKING POWDER UCHANGANYE VIZURI. HAKIKISHA MCHANGANYIKO WAKO UKO SAWA YAANI… Endelea

MKATE WA BOFLO

Imetumwa tarehe February 21, 2009 saa 9:00pm — 0 Maoni

Mahitaji

Unga nusu kilo

Chumvi kiasi

Sukari kijiko 1 cha chai

Hamira kiasi

Mafuta ya kupikia vijiko 2 vya kula

Maji 1 mug (300ml)





Namna ya kupika

Changanya unga, chumvi na hamira



Kwenye mug changanya maji, sukari na mafuta



Mimina maji kidogo kidogo ndani yaunga



Ponda unga wako mpaka ulainike



Uwache mpaka uje juu



Uponde tena kidogo



Ugawe mara… Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu 83)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 4:38pm tarehe April 17, 2012, MOH'D ALI AMOUR kasema…
Asalamamu alaiku enyi wapenzi wa zanzibar website mambo vp ujumbe swali kabla ya kuswaliwa
Saa 7:36pm tarehe March 21, 2012, TASHAMATSH kasema…

asalaam alaikum

natumia fursa hii kukujulisha kuwa mm ni mmoja wa washiriki katika ukumbi huu tokea uwanze na sijapata kukosana namtu wala  watu hapa ukumbini jambo la kushangaza ume waaajiri watu ambao wanta utumia ukumbi ni pahala pa riziki au kutumia fursa kutapeli watu na ukiwa hukutimiza mahitajio yao basi ujuwe watakutowa ukumbini ukumbi huu umekuwa mtaji wao jeee kweli wewe ndio una watuma wafanye hivi ?? tokea kuwanza ukumbi watu hawajakosana ila makosa madogo madogo na kulikuwa hakuna matatizo hapa ila baada ya kuja hawa watapeli ulio waaajiri wewe siku hizi  ukumbi unaweka watu wenye matusi na hawana heshima wana wakosa watu baaada ya kumpa ukubwa huyu nasreen hakika hana adabu kabisa na mdomo wake mchafu bila kiasi anatukana watu na akijibiwa ana towa watu kila siku hapa bila makosa hakika kuona hivi sikuridhika nikawa nina mwabia akasema atanitowa na kweli kanitowa jee ndio unavyotaka ukumbi wako uwe hivi samahani nilipenda kukujulisha uwamuzi ni wako wewe ingawa nime tumia lugha mbaya katrika hii baruwa kwa hiyo utanisamehe kaka wako

mwachama wa ukumbi

Saa 8:50pm tarehe March 20, 2012, TASHAMATSH kasema…

asalaam alaikum warahmtullahi wa barakatu

 

napenda kuchukwua nafasi hii kukuarifu jee ukumbi huu una waaajiri watapeli ??ama wanawake wasio hehsimaaa ??? ikiwa kwani ulio wapa ukubwa wana utumia kwa njia wanayo taka wao na hasa huyu nasreen ana watowa kila walikuwa watu wa zamani ili achukuwe ukumbi jeee unahisi hili wewe yanayo tokea hapa yana kuridhisha??kwani naona wengi washatolewa bila kuwepo makosa ????jeee mbona ndugu yangu hufanyi uchunguzi kwa nini huyu msichan pekee anatowa watu hapa ukumbini ujuwe kuna siri fulani kwa hiyo fnaya uchuguzi na chaguwa wasimamizi wa maana wana penda haki sio kutapeli watu ukumbini please nakuona wewe ndio uwangalie haya

ukumbi una haribika kila siku watu wana punguwa jiulizeeee ili upate jawabu wako tash mash

 

Saa 7:17pm tarehe March 14, 2012, BAZOKA kasema…

NDUNGU ASALAAM ALAIKUM

NATUMI UTAKUWEPO KATIKA HALI YA UZIMA NA AFYA NJEMA KWANZA KABISA NAPENDA KUTOWA SHUKURANI ZANGU KUWEZA KUWEKA WEB YA KUWAKUTANISHA WATU NA KUJUWANA MUNGU AKUZIDISHIE KHERI NA BARAKA AMEEEN JAMBO KUBWA HAPA SIKU HIZI WEB HII IME HARIBIKA KUTOKANA WEWE KUWEKA VIONGOZI WANA MATUSI MMOJA WAO )NASREEN NA MAZRUI) HAWA WANACHAMA WANA UHARIBU UKUMBII KWA MATUSI WANA WAFUKUZA WATU NA PIA WANA WAFUNGIA WATU JEEE KWELI WEWE UTARIDHIKAAA NA THULUMA  WAMMENFUNGI MWANA CHAMA TASHMATASHA BILA MAKOSA JEE UNA RIDHIKA NA HALI YA UKUMBI HUU )NJOO UWONE UKUMBI SASA ULIVYO HAUNA WATU UWAHI KABLA KUHARIBIKA WEB YETU AMBAYO TUNAKUJA  KUPASS TAIMU BAADA YA AMCHOFU YA KAZI KWAHIYO HATUJIA HAPA KUKOSANA NA WATU  KWA HIYO KAKA TAFADHALI KAMA UNA WAPA UWONGOZI  WATU WAPE WENYE BUSARA NA WANO KUSTAHILI SINA MENGI NAPENDA KUKUARIFU WAKO BAZOKA

 

Saa 11:29am tarehe February 1, 2012, hamad issa omar kasema…

ASSALAM ALAYKUM WAPENZI WA ZANZIBAR WEBSITE

NISAIDIENI KUPATA MCHUMBA WA KIKE MUISLAM ANAEWEZA KUTOA DAAWA NA KUA MWALIMU WA MADRASA YA WANAWAKE

 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service