Marafiki wa Al Mabrouk'

  • Amir Ebrahim
  • ahmad husain
  • Talib
  • salum ali said
  • ally ahmad mohamed
  • ahmed saleh ahmed
  • kidudu m2[If U do I do]
  • Mohamed Abu Zakariya
  • Beit-el-ras Zanzibar
  • salim
  • NASSER
  • nehru
  • salmasuleiman
  • Ahlam
  • Kamzore.

Taarab

Loading…

Al Mabrouk's Groups

Mijadala ya Al Mabrouk'

Bunge na Haki

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Hamisi Omary Jun 17, 2011. 5 Majibu

Ahadi ni deni

Umeanza Apr 8, 2011 0 Majibu

Zanzibar yakataa kuilipa TANESCO

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Al Mabrouk Apr 7, 2011. 1 Jibu

 

Ahlan Wasahlan!

Matukio ya Karibuni

Al Mabrouk amejibu mjadala wa bushako 'NIMPE TALAKA , AMA NIMSAMEHE ?'
"Quraan 39:53. """""Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya ALLAH. Hakika ALLAH husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu.""""" "
Feb 22
Al Mabrouk amejibu mjadala wa bushako 'NIMPE TALAKA , AMA NIMSAMEHE ?'
"Tujihadhari kusema mambo ambayo hatuna hakika nayo.kwasababu unachokisema hapa anaweza mtu akakitumia na ikawa hoja dhidi yako siku ya kiama.Hakuna jibu zuri kuliko lile utalolitoa katika Kuraan."
Feb 22
Al Mabrouk amejibu mjadala wa bushako 'NIMPE TALAKA , AMA NIMSAMEHE ?'
"Mbona hujafafanua vizuri.Najua kama ulimuoa basi uliingia ndani na jee hujatueleza kama hao watoto ni pacha au laa?"
Feb 18
Al Mabrouk amezungumzia picha ya Sumiyati hii hapa
Thumbnail

*R.I.P* Whitney Houston Dead At 48

"Maisha matamu lakini mafupi."
Feb 15
Al Mabrouk amejibu mjadala wa KISIGINO 'CALTURE musical club bado imesimama kidedea ?'
"Ni mabadiliko ya tabia nchi tu kwasababu hivi sasa vijana wamejikita kwenye rusha roho na mduara."
Feb 12
Al Mabrouk amezungumzia makala ya Abdullmalik 'Jamaani Naomba busara zenu'
"Inategema na madhehebu yako.Kwa mimi ambae sina madhehebu HIYO SI TALAKA."
Feb 12
Twalal amepongeza makala ya Al Mabrouk 'CHILA (my version)'
Feb 12
Al Mabrouk amezungumzia picha ya ZANZIBAR hii hapa
Thumbnail

WAMASAI WADUDU WABAYA-ZNZ

"Si tabia nzuri kama Muislamu kumuita binaadamu mwezio MDUDU.Kama Mtume angewadharau jamaa zake wa KIARABU waliokuwa wakiabudu masamu Jee sisi tungekuwa vipi??"
Feb 6

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Muafrika
Umri (Age)
43
Urefu (Height)
5.5
Ndoa (Marital Status)
Nataka Kuongeza
Watoto (Children)
Watatu
Kazi (Occupation)
Web developer
Burudani (Hobbies)
Kusoma,Muziki,Michezo
Dini(Religion)
Muislamu

Al Mabrouk's Videos

  • Ingiza Videos
  • Angalia zaidi

Makala za Al Mabrouk

Kujali vyama kuliko wananchi

Imetumwa tarehe January 7, 2012 saa 9:52pm — 1 Maoni

Viongozi wangekuwa wanajali WANANCHI kama wanavyojali vyama vyao basi waliohusika na uzembe wa kuzamisha MV SPICE wote wangeshawajibishwa.

Uhuru

Imetumwa tarehe December 10, 2011 saa 7:39pm — 0 Maoni

Hakuna UHURU usio mipaka kwasbabu tatizo sio uhuru tatizo kujua mipaka yake na jinsi ya kuutumia.

Sheria ya Mungu ni bora

Imetumwa tarehe October 24, 2011 saa 10:56am — 0 Maoni

KILA KIZURI unakipata kwa kumfuata Mungu na KILA KIBAYA unakipata kwa kumfuata Shetani.FUATA muongozo wa Mungu upate mema na EPUKA muongozo wa shetani uepukane na mabaya.

Magharibi ya Ramadhani

Imetumwa tarehe August 3, 2011 saa 8:07pm — 0 Maoni

Ramadhani pekee majirani wote munakutana msikitini wakati wa magharibi.Munakula tende pamoja na kugawana viburudisho kabla ya Sala.Lengo ni kufufua na kujua umuhimu wa jambo hili.

Whose religion is this???

Imetumwa tarehe June 20, 2011 saa 9:41am — 0 Maoni



File photo of the Archbishop of Canterbury and head of the Church of England, Dr Rowan Williams. The Anglican Church was on Monday set to approve controversial guidelines allowing openly homosexual clergy to become bishops.…

Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu 27)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 11:06am tarehe May 23, 2011, ida kasema…
mimi nahisi wale wanyonge wako wakumbukwe na wale wenye kuhamia ulaya na arabuni au kwa yoyote mwenye uwezo m/mungu atupe imani ya kutoa pale tunapopata amin
Saa 5:26am tarehe April 29, 2011, Sumiyati kasema…
Saa 11:50am tarehe April 2, 2011, FAIQA kasema…
Saa 10:39am tarehe November 16, 2010, Sumiyati kasema…

Saa 3:24pm tarehe October 27, 2010, Amir Ebrahim kasema…
Thanks bro. I appreciate it very much. You are absolutely right and I totally agree with you. Thanks for your warm welcoming. Have a wonderful day with your family and loved ones........Amir.
At 3:57pm on October 21, 2009, Habibty gave Al Mabrouk a gift
Gift
Lol thank u....ungetoa hio cheese umesend@da right tyme coz am famished!Cheers mate!
Saa 6:54am tarehe October 15, 2009, NASSER kasema…
Shukran Akhuii Kwa Kunichaguwa Kuwa Rafiki wako Asaa Tuwe Rafiki Wa Dunia Na Akhera Katika Ridha Ya ALLAH Aamin

Shukran Lukmaan
Saa 9:52am tarehe September 21, 2009, Kamzore. kasema…
Mungu akuzidishie hekima kama lilivyo jina lako
Saa 11:43pm tarehe September 19, 2009, Habibty kasema…

Eid Mubarak Graphics and Glitters



CommentsGuru.com - Forward This Image
Saa 11:52pm tarehe September 9, 2009, Habibty kasema…
 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service