maulid idrissa
  • Mwanamume
  • dar es salaam
  • Tanzania
Peleka kwenye Facebook
Peleka Twitter

Gifts Received

Gift

maulid idrissa has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

Ukumbi wa maulid idrissa

Matukio ya Karibuni

RAUDHA amezungumzia makala ya maulid idrissa 'MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?'
"Asalamu alaykum musiwe na hitilafu maulid moja kwa moja ni bidaa kwa maelezo mengi kama utataka kufahamu ingia  ALHIDAAYA"
Feb 25
ramadhan msebi amepongeza makala ya maulid idrissa 'MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?'
Feb 12
maulid idrissa amezungumzia makala ya maulid idrissa 'MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?'
"Waalaikum salaam warahmatullah wabarakatuh   > almuhim ndugu yangu muislamu soma historia ya maulid wewe kama wewe !   > Jiulize huyo Othmani maalim na abubakri ni nani anaempenda mtume ?   > Hizo fatwa zake namsikia mara…"
Feb 11
Issa Suleiman amezungumzia makala ya maulid idrissa 'MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?'
"Assalam alaykum Ndugu Maulid Idrissa ningependa kukushauri tu ukaingia You tube kisha tafuta othman Maalim Mada kuhusu Maulid ameelezea kwa urefu kuhusu Maulid nadhani baada ya kusikiliza utatosheka kabisa na kama hukutosheka basi no yake ya sim ipo…"
Feb 10
maulid idrissa posted a blog post

MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?

Nimeonelea makala yangu hii nianze kwa njia ya maswali juu ya swahiba wa mtume rehema na amani ziwe juu yake.  Huyu ni Abdullah ibn abu kuhafa (aswiddiq) kama ajulikanavyo alimpenda sana rasulillah saw>akawa kama bodigadi wakitembea anapinda njia huku nahuku kumzingira habibullah.>Katajwa katika qurani waziwazi surati A taubah>Katajwa katika surati Laily na nyinginezo>Mwanaume bora baada ya mitume na manabii (yaani yeye ndo anawafatia kwa iiman kama wasemavyo wanawazuoni)> Amali…See More
Feb 10
hawa ahmed mdachi amewacha salamu kwa maulid idrissa
"assalaam alaykum."
Feb 8
maulid idrissa amejibu mjadala wa LIBERTY ZANZIBAR 'HUKMU YA NYIMBO NA MUZIKI (UPEMBUZI YAKINIFU)'
"assalamu alikum warahmatullah wabarakatuh. 1.amma ndugu zangu waislamu aya hiyo ya surati luqmani aya ya 6, ibn masuud anasema katika tafsiri yake baada ya kuulizwa "naapa kwa yule ambae hakuna apasae kuabudiwa zaidi yake aya hii imeshuka juu…"
Aug 4, 2011

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Muafrika
Umri (Age)
26
Urefu (Height)
156
Ndoa (Marital Status)
Nimeowa
Watoto (Children)
Sina
Kazi (Occupation)
sina
Burudani (Hobbies)
qurani
Dini(Religion)
Muislamu

Makala za Maulid idrissa

MAPENZI GANI JUU YA MTUME SAW YANAHITAJIKA ?

Imetumwa tarehe February 10, 2012 saa 3:37pm — 3 Maoni

Nimeonelea makala yangu hii nianze kwa njia ya maswali juu ya swahiba wa mtume rehema na amani ziwe juu yake.

  Huyu ni Abdullah ibn abu kuhafa (aswiddiq) kama ajulikanavyo alimpenda sana rasulillah saw

>akawa kama bodigadi wakitembea anapinda njia huku nahuku kumzingira habibullah.

>Katajwa katika qurani waziwazi surati A taubah

>Katajwa katika surati Laily na nyinginezo

>Mwanaume bora baada ya mitume na manabii (yaani yeye ndo…

Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu moja)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 10:40am tarehe February 8, 2012, hawa ahmed mdachi kasema…

assalaam alaykum.

 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service