Swaleh Suheil Abeid
  • Mwanamume
  • mombasa
  • Kenya
Peleka kwenye Facebook
Peleka Twitter

Marafiki wa Swaleh Suheil Abeid'

  • BABENGWA

Mijadala ya Swaleh Suheil Abeid'

IFIKAPO SIKU YANGU

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Swaleh Suheil Abeid Jan 24. 4 Majibu

Nalia napokumbuka, ifikapo siku yanguUdongo tanifunika, tita liwe juu yanguSiweze tena kutoka, nibakie peke yanguHiyo ndio siku yangu, tapoiaga dunia!Kifikiria mauti, hutetema moyo wanguNa ufikapo…Endelea

Gifts Received

Gift

Swaleh Suheil Abeid has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

Ukumbi wa Swaleh Suheil Abeid

Matukio ya Karibuni

Swaleh Suheil Abeid amepongeza ukumbi wa Mariamu Hassan
May 15
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa BABENGWA 'Kasuku !!!'
"Swahibu ulo baidi, Babengwa mekusikia Nauliza sina budi, nijibu nipate njia Kasuku alokaidi, vipi ulimnunua? Kwake kasuku kunadi, ndio yake mazowea   Ni toka jadi na jadi, asema anosikia Hili hukijitahidi, ungesoma ukajua Kiweka yako miadi,…"
Mar 29
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa BABENGWA 'BAKORA ?'
"Nakusalimu Babengwa, lalamiko mesikia Sio kwamba unatengwa, eti nakunyamazia Kwa bakora naviringwa, sijui la kukwambia Bakora yako mwenyewe, ni vipi yakulemea? Dikupa  naomba sema, bakora ulosikia Babengwa yuwalalama, Bakora yamsumbua Tena…"
Mar 21
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa bushako 'NAPENDA'
"Sio kua ni sharuti, kukupa njema kauli Kwa pendo lilozatiti, zakukumba idhilali Bora mche Jabaruti, upate sitiri hali Rakataini uswali!   Hebu mwepuke bilisi, pendo liwe la halali Jiandalie harusi, suna ya wetu Rasuli Heri…"
Feb 11
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa bushako 'NAPENDA'
"Mahaba huwa adhimu, mno yakikulekeya Tena yanakuwa tamu, nyonda zikiendeleya Mara yanakuwa sumu, siku yakikuzingiya Tafakari muadhamu!   Nakuonavyo wasota, katwani humakiniki  Wastahabu kutota, maneno huambiziki Mahaba yaliyoota, ni…"
Feb 9
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa Dikupa 'MAFUTUHA!'
"Kufa kwako kwa jihadi, kuondoa dhulumati Kwa kifo cha ushahidi, takujazi Jabaruti Na ndio yake ahadi, una tele khairati Utangia jan'nati, ufapo kwenye jihadi Uwe safi wa fuadi, mwenye imani thabiti Uwe kati ya junudi, ulipuwe guruneti Uwe…"
Jan 29
Abdillah khamis salum amepongeza mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
Jan 24
A discussion started by Swaleh Suheil Abeid was featured

IFIKAPO SIKU YANGU

Nalia napokumbuka, ifikapo siku yanguUdongo tanifunika, tita liwe juu yanguSiweze tena kutoka, nibakie peke yanguHiyo ndio siku yangu, tapoiaga dunia!Kifikiria mauti, hutetema moyo wanguNa ufikapo wakati, tauaga ulimwenguTakoma zangu kunuti, swalati na dua zanguTanitoka roho yangu, tapoiaga dunia!Nitaiaga dunia, nitengeke na wezanguSina tachokichukua, ila ni amali yanguHesabu yaningojea, sijui mezani yanguUna hofu moyo wangu, tapoiaga dunia!Nyumba iliyo nyembamba, takua makao yanguKiza…See More
Jan 24
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
"Kufa kwako kwa jihadi, kuondoa dhulumati Kwa kifo cha ushahidi,  takujazi Jabaruti Na ndio yake ahadi, una tele khairati Utangia jan'nati, ufapo kwenye jihadi   Uwe safi wa fuadi, mwenye imani…"
Jan 24
FAIQA amepongeza mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
Jan 24
Dikupa amejibu mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
"yaweza kuwa shirki, mja kuhofu mauti, ambayo hayamfiki, ila muda na wakati, saa atapo fariki,yumo kwenye harakati, ameshika guruneti, jihadi mwendo mtundo! mwendo mdundo jihadi, rijali kajidhatiti, Amuitika munadi, wito kwenda jannati, pale afapo…"
Jan 24
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
"Babengwa hujakasiri, kweli zako kalimati Kusema kwa ujasiri, siku yenye ithibati Wajibu kuifikiri, ziwe njema hisabati Daima tuyakumbuke, Mauti yatungojea   Hebu tuwe na fahamu, tuombe kila wakati Siku hiyo ikitimu,…"
Jan 24
BABENGWA amejibu mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
"Bismilahi Rahimi  Siku yenye ithibati Kifo ni jambo azimi Isosomeka wakati Si Suheli sio mimi   Kaumu yetu umati KUONJA KWETU MAUTI- ALLAH AMETANGAZIA. Kilio hakisimami   Unapofika wakati Roho haijihami   …"
Jan 24
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa Dikupa 'GANZI!'
"Pendo lingakuchakaza, ukachafukika bongo Dikupa nakuliwaza, ukufunguke msongo Heri omba kwa Muweza, uwe huru na kifungo Nakufariji kwa tungo!   Tungo hino iwe tiba, usipindike mgongo Iwe kwako marahaba, tunu isiyo na…"
Jan 19
Mariamu Hassan amewacha salamu kwa Swaleh Suheil Abeid
"ASALAM ALEYKUM"
Jan 18
Mariamu Hassan amewacha salamu kwa Swaleh Suheil Abeid
"asalam aleykum"
Jan 16

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Mwarabu
Umri (Age)
49
Urefu (Height)
6.2 ft
Ndoa (Marital Status)
Nimeowa
Watoto (Children)
Watatu
Kazi (Occupation)
logistics and documentation contoler
Burudani (Hobbies)
internet browsing
reading news
football
watching movies
Dini(Religion)
Muislamu

Makala za Swaleh Suheil Abeid

Shairi: Ifikapo Siku Yangu

Imetumwa tarehe April 26, 2011 saa 9:06am — 1 Maoni

IFIKAPO SIKU YANGU



Nalia napokumbuka, ifikapo siku yangu

Udongo tanifunika, tita liwe juu yangu

Siweze tena kutoka, nibakie peke yangu

Hiyo ndio siku yangu, tapoiaga dunia!



Kifikiria mauti, hutetema moyo wangu

Na ufikapo wakati, tauaga ulimwengu

Takoma zangu kunuti, swalati na dua zangu

Tanitoka roho yangu, tapoiaga dunia!



Nitaiaga dunia, nitengeke na wezangu

Sina tachokichukua, ila ni amali yangu

Hesabu yaningojea, sijui… Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu 5)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 11:25am tarehe January 18, 2012, Mariamu Hassan kasema…

NAPENDA UNITUNGIE SHAIRI NITAFURAHI

Saa 11:20am tarehe January 18, 2012, Mariamu Hassan kasema…

ASALAM ALEYKUM

Saa 2:30pm tarehe January 16, 2012, Mariamu Hassan kasema…

asalam aleykum

Saa 10:58am tarehe January 9, 2012, Mariamu Hassan kasema…

asalam aleykum,

Saa 2:10pm tarehe February 12, 2011, JOGOOO kasema…
SALEH AHSANTE SANA KWA SUALA AU MJADALA WAKO HUU AMBAO KWA HAKIKA HAUNA UZITO HATA IKAPASA KUULIZA KWENYE UKUMBI HUU HATA HIVYO NITAJARIBU KUKUJIBU KIDOGO TUU NDOA HAIJA KATAZA KUOA AU KUOLEWA KWA MAKABILA HAYO LINALOTAKIWA MUHIMU NI KUA KATIKA DINI NA PIA KUA PANDE ZOTE MBILI ZIMEPENDANA KATKA KUFUNGA NDOA YA MAISHA.
 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service