Bin Rajab's Groups

Mijadala ya Bin Rajab'

NDOA

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Bin Rajab May 17. 8 Majibu

 Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 katika pirika za kimaisha nimepanga mnamo mwaka kesho nianze process za kufunga ndoa lakini suala langu liko hapa .miaka miwili iliyopita babu yangu mzaa baba…Endelea

Gifts Received

Gift

Bin Rajab has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

Karibu, Bin Rajab

Matukio ya Karibuni

Bin Rajab amepongeza ukumbi wa jasmin rajab
Jana
Bin Rajab amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Nashkuru sana wadau wote kwa ushauri wenu hasa wale waliojaribu kutumia mifano na maandiko kutoka katika kitabu kitukufu cha qur an .vile vile ningependa kuwataarifu kama sio wote baadhi ushauri tayari tayari naufanyia kazi na inshallah utanisaidia…"
May 17
hawa ahmed mdachi amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"         assalaam alaykum,pole sana Bin Rajab.mimi nitaongezea kidogo tu, umeishaambiwa sifa za mke wa kuoa ni hizo nne,hivyo mwenye sifa kati ya hizo afaa kumuoa, lakini mtume Muhammad swala llahu alayhi…"
May 16
ibrahim abdallah makbel amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Pole sana kwa huo mtihani ila kaa ukijua mke mwema unatafuta mwenyewe na si wakutafutiwa na wazazi."
May 16
Robert Sononga amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"BIN RAJAB. Kwanza kabisa nakupa Pole kwa mtihani uliopo mbele yake, Lakini pia, napenda kukujulisha ya kwamba Majibu yake ni Rahisi mno, kuliko unavyo fikiria. Mosi, ni vyema ukifahamu ya kwamba Ndoa ni TAASISI, Taasisi inayoshirikisha watu wawil…"
May 16
Bin Rajab amepongeza mjadala wa BABENGWA 'Kasuku !!!'
Apr 3
Bin Rajab amepongeza mjadala wa BABENGWA 'Makombo !!!'
Mar 19
Bin Rajab shared BABENGWA's discussion on Facebook
Mar 19
BABENGWA amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Rajabu wakati ukuta achana na ndoa za ndugu kwa wakti tulionao... Kauli ya kiungwana ya kumwambia babu chukua hiyo ya Mzee Dikupa...... Ukoo ukiwa una kifafa jua hakiondoki kazi ni kurithishana misiba. Tafuta atokuridhi Jicho ilokichagua Moyo…"
Feb 24
Dikupa amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Naam!  1. waweza kumwambia babu kiungwana kabisa kuwa "JICHO LANGU PALE HALIJATULIYA" 2. waweza piya kumtafutiya huyo binti, mchumba wa kumuowa ikiwezekana hata ukampendekeza BUSHAKO akafanye nusra hapo. 3. Na kama kwa namna moja au…"
Feb 23
IL-YA amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Kaka rajabu nadhani kaka Bushoka kaisha kutajia sifa za mke anaetakiwa kuolewa.Asante sana kaka bushoka kwa kufanya kazi hiyo hakika ni sahihi. Naweza kuchangia kutoa ushauri kuwa:Mke ni yule uliyempenda wewe si yule aliyempenda mama yako au baba…"
Feb 23
bushako amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"haya ahjsante kwa kuwa muwazi zaidi ndugu yangu bin rajab. lakini kwanza ufahamu kuna kndoa za aina nyingi karibuni 4 au 4, ndoa ya kislamu, ya kijadi, ya kikabila, na ya kiserikali,  mm naona tuzungumzie ndoa ya kislam , ndugu yangu mwanamke…"
Feb 23
Bin Rajab amepongeza mjadala wa bushako 'MSHENGAA'
Feb 22
Bin Rajab amejibu mjadala wa bushako 'NIMPE TALAKA , AMA NIMSAMEHE ?'
"Kiislamu watot walizaliwa ndani ya ndoa ni wako .nakuhusu umsamehe au la hilo ni jukumu lako na wala mtu yeyote hawezi kukushauri kwani!inawezekana mw.ke huyo alianza kuzini na hata kama umerudi lakini pia ataendelea kuzini kwa hio hakuna haja ya…"
Feb 22
Bin Rajab amepongeza makala ya ForoZanzibar 'Qatar Airways'
Feb 13
Bin Rajab amerekebisha ukumbi
Feb 6

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Muafrika
Umri (Age)
25
Urefu (Height)
65
Ndoa (Marital Status)
Natafuta Mchumba
Kazi (Occupation)
S S B Group Of Cmpny
Burudani (Hobbies)
michezo,kuanalia Tv ,kusikiliza na kusoma habari
Dini(Religion)
Muislamu

Picha za Bin Rajab

Loading…
  • Ingiza Picha
  • Angalia zaidi

Ukumbi wa Salamu(Salamu moja)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 5:14pm tarehe October 8, 2011, Lujain Rash kasema…
karibu
 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service