Dawa ya Sukari ! Wabilahi Taufiq





Dawa ya Sukari (Diabetes)



Sheikh Saleh Mohammed Tuwaijiri (May Protection of Allah be on him), Qadhi Mkuu wa korti ya Tabuk kafanya uchunguzi mkubwa kwa kuvumilivu na kwa subira kubwa mpaka kupata hii dawa ya magonjwa ya sukari.

Siku hizi watu wengi khususan watu wazima, wanaume na wanawake wanataabika sana kwajili…