Saa 4:02pm tarehe March 25, 2012, sabra ahmed kasema…
W/msalaammi mi mzima rafiki yangu mpenzi hofu kwako tu wewe nikupendae kwa dhati,Also miss you more than vyote mi nipo tu na ninapatikana mda wowote,ila naona wewe ndo umekua adim sasa.
Saa 6:22pm tarehe March 24, 2012, sabra ahmed kasema…
Mambo vipi kipenzi cha roho yangu?Ahsante kwakunichagua rafiki nami nimekubali na karibu sana katika ukumbi wa Sabra bint Ahmed,haya inshaallah nakutakia jion ya wikiend njema.
Saa 8:27pm tarehe March 16, 2012, sabra ahmed kasema…
Amiin na ahsante kwa dua yako njema isiyokuwa na chembe ya choyo kwangu,na pia shukrani jaziira kwakunijali Mola akujalie uwe na roho hiyohiyo, haya inshaallah nakutakia usiku mwema.
Saa 12:34pm tarehe March 14, 2012, sabra ahmed kasema…
Nzuri tu rafiki yangu apo kati nilipotea kidogo sababu nilikuwa naumwa homa,ila kwa sasa niko pouwa namshukuru allah,na usijali kwani nimerudi tena ahsante kwaknijulia khali na inshaallah nakutakia siku njema.
Saa 4:53pm tarehe December 25, 2011, Rehema Abduly kasema…
Assalamu alaikum asante kwa kunichagua niwe rafiki yako merry chrismas and happy new year
Ukumbi wa Salamu(Salamu 5)
Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe
Join Zanzibarwebsite