Marafiki wa Fesal Humud Fesal'

  • Salma Suleiman Juma
  • samya moh'd nassor
  • sabra ahmed
  • hgbn al'
  • ummu- thary
  • samirah al - Hadeeth
  • zahra yahaya
  • zainab bakari
  • Mchina
  • Rodandi
  • Jamila Mohamed Diria
  • sele suleiman.
  • Kidu Ally Hamad
  • Muhammad Nassor Hassan
  • sabra hans

Taarab

Loading…

Gifts Received

Gift

Fesal Humud Fesal has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

<<<<Be couse you love me>>>>

Matukio ya Karibuni

Lujain Rash amewacha salamu kwa Fesal Humud Fesal
"Karibu tena na uwache kuwa kimya"
masaa 23 yaliyopita
Fesal Humud Fesal amezungumzia kuhusu album la Fesal Humud Fesal hili hapa
Ijumaapili
Fesal Humud Fesal posted a blog post
Ijumaapili
Fesal Humud Fesal amezungumzia picha ya BENJAMIN JAMES hii hapa
Thumbnail

SAIDIA JAMII

"A alaykum wapendwa ikiwa nguo imechanika jee ngozi yake mtu huyu itakuwaje? hili ni tatizo la mfumo ulikamata dunia siwo umefeli ni jukumu la viongozi kuhakikisha wanawaongoza na kuwatunza, mfumo wa kiislamu hauruhusu kuwepo kitu kama…"
Ijumaapili
Fesal Humud Fesal amezungumzia picha ya Fesal Humud Fesal hii hapa
Thumbnail

399016_262587687136975_100001572365862_803114_167732929_n

"huyu akimuelekea bi harusi tu huenda akafanwa yeye kua biharusi hilo ndilo analohofia"
ijumaamosi
Mathna Ahmed amezungumzia picha ya Fesal Humud Fesal hii hapa
Thumbnail

399016_262587687136975_100001572365862_803114_167732929_n

"hajalipa mahari?? hajapima damu?? au budget hairuhusu??naona bwana haruc kaekewa mlinzi lol"
ijumaamosi
Mathna Ahmed amezungumzia picha ya Fesal Humud Fesal hii hapa
ijumaamosi
Rukia Hashimu na Fesal Humud Fesal sasa ni marafiki
ijumaamosi
Mathna Ahmed amezungumzia picha ya Fesal Humud Fesal hii hapa
Thumbnail

CIMG2931

"hawa vipi?na wao pia wanapinga muungano au?  "
Ijumaa
Fesal Humud Fesal amezungumzia picha ya maulid hassan hii hapa
Thumbnail

twoheads

"shubkhanallwa mungu ni muweza wa kila jambo..."
Alkhamisi
Fesal Humud Fesal amezungumzia picha ya Salma Suleiman Juma hii hapa
Thumbnail

ajabu

"Kujitambuwa pia ni tatizo coz kama hawa duniani wapo wengi lolote kwao wanaona nisawa tu hatimae utu unapotea na kubaki kama mnyama......"
Alkhamisi
Jumaa Said AlBusaidy amepongeza picha ya Fesal Humud Fesal hii hapa
Alkhamisi
Salma Suleiman Juma amezungumzia kuhusu album la Fesal Humud Fesal hili hapa
Alkhamisi
Fesal Humud Fesal amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Barack Hussein Obama'
"Huyu anatangaza vita na m mungu kamwe hatoshinda...."
May 24
Fesal Humud Fesal amezungumzia kuhusu album la Fesal Humud Fesal hili hapa
Thumbnail

**zanzibar **wanaweza**

"KUJISTIRI KUNAMJENGEA MTU HESHIMA"
May 24
Fesal Humud Fesal amezungumzia kuhusu album la Fesal Humud Fesal hili hapa
May 24

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Mwarabu
Umri (Age)
31
Urefu (Height)
***
Ndoa (Marital Status)
Natafuta Mchumba
Kazi (Occupation)
Bns man
Burudani (Hobbies)
I like move and news
Dini(Religion)
Muislamu

***NNAKUJALI***NA***NNAKUSAMINI***EWE RAFIKI ***NIKUPENDAE***

Salamu kitu azizi,wanadamu kupeana.salamu yatokea enzi,sio imeanza jana.

salamu ni ya mwenyezi,sisi waja kwetu sunna.salamu si kubwa kazi,muda wako

kuubana.salamu huzaa penzi,furaha na uungwana.salamu ina mapenzi,watu

wanapo peana.salamu ndio hirizi,ya watu kushikamana.salamu huondoa majonzi

mnapo salimiana.salamu huleta njozi,wapi tulipoonana.salamu ni simulizi,na

heshima kubwa sana.salamu si uchokozi,jibu ukawa huna."Asalamu Alaykum"

ewe mja ulioitembelea profile yangu fesal06@hotmail.com.

Picha za Fesal Humud Fesal

Loading…
  • Ingiza Picha
  • Angalia zaidi

Makala za Fesal Humud Fesal

UWAMSHO WAFANIKIWA KUFIKISHA UJUMBE WAO

Imetumwa tarehe May 27, 2012 saa 9:29am — 0 Maoni

*****TUJIANDAE NA MWEZI MTUKUFU*****

Imetumwa tarehe May 24, 2012 saa 6:56am — 0 Maoni

JIANDAE NA MWEZI MTUKUFU WA RAMADAN KWA KUOMBA DUA HII AMBAYO WAJAA WEMA NDIO WANAYOITUMIA KATIKA KUMUOMBA MUNGU.

Ewe M/Mungu Tupe Baraka za Mwezi wa Rajab Na Shaaban , Na Tunakuomba M/Mungu Tufikishe tukiwa wazima wa Afya katika Mwezi Mtukufu wa Ramadan ili Tutekeleze Ibada ya Funga

Kupenda ni hali Fulani inayotokana na mtu juu ya mtu ni jambo jema lenye kuleta Furaha na faraja hasa ikiwa anaekupenda ndie ambae wewe unampenda, ila Halina furaha ikiwa anaekupenda wewe humpendi…

Imetumwa tarehe March 2, 2012 saa 9:02am — 1 Maoni

Kupenda ni hali Fulani inayotokana na mtu juu ya mtu ni jambo jema lenye kuleta

Furaha na faraja hasa ikiwa anaekupenda ndie ambae wewe unampenda, ila

Halina furaha ikiwa anaekupenda wewe humpendi ,na halina faraja ikiwa unaempenda

Yeye hakupendi ujumbe wangu wa leo nawapenda sana marafiki zangu wapenzi nawatakia jumaa kareem na maisha mema yenye amani .

Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu 55)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 10:43am tarehe May 29, 2012, Lujain Rash kasema…
Karibu tena na uwache kuwa kimya
Saa 12:16pm tarehe May 8, 2012, sabra ahmed kasema…

Ewe mola mjaalie mja wako huyu huniombea kheri,Lakini yeye mpe mara mbili muitikie kabla hajakuita,mpe kabla hajakuomba,Mzibishie kabla hajapungukiwa,Mkuze kabla hajazalilika,Mfariji kabla hajahuzunika,Na unijalie mimi niwe jirani yake peponi Amiin,

                                          Nakupenda sana rafiki yangu Fesal.

Saa 6:32pm tarehe April 19, 2012, sabra ahmed kasema…

Wallah maneno yako yameukonga moyo wangu sana Sakafu wangu wa moyo na kama sitosema basi nitakuwa mchoyo wa fadhila kwako Ahsante na sitoacha kusema nakpenda sana khabiby wangu kipenzi Fesal mwaaaaaaah!

Saa 3:28pm tarehe March 20, 2012, sabra ahmed kasema…

Amiin yarabal alamiin ewe asali wangu wa moyo,shukrani jaziira kwa ujumbe wako mzuri sana kweli nimeupenda na kuupokea bila hiyana yoyote,Fesal sitaki kusema maneno mengi juu yako ila tu All my heart with you ma'best friend.

                                   have a joyful day.

Saa 10:40am tarehe March 20, 2012, kauthar ally kasema…

waaleikum musalam warahmatullah wabarakat wote wazima ALHAMDULILLAH TUMESALIMIKA INSHALLAH NA NYIE WAZIMA shukran kwa kunikumbuka

Saa 8:12pm tarehe March 16, 2012, sabra ahmed kasema…

W/msalaamu ya khabiby wangu mpendwa, nimefurahi sana kupata message yako leo kwani nilipatwa na hofu kikubwa cha kimya chako na kukumiss sana sakafu wa moyo wangu,Na ninafurahi kusikia ulikuwa safari na umerudi salama,mi nipo tu kipenzi changu hapo juzi kati nilikuwa naumwa ila kwa sasa niko vyema kabisa namshukuru Allah.

Saa 11:02pm tarehe March 4, 2012, sabra ahmed kasema…

W/msalaamu ya Habiby wangu nikupendae kwa dhati,na Amiin kwa dua zako ziwe nasi kwa ujumla,

                           Na naomba utie akilini hili jambo maana ni muhimu

Usiwachukie watu kwa khali zao,wapende kwa tabia zao,usiwaamini kwa kauli zao,washuhudie kwa matendo yao,usiwadharau kwa ufukara wao,bali waheshimu kwa utu wao,Inshaallah na usiku mwema lipenzi changu Fesal bin Humud.


                            

Saa 6:59pm tarehe March 2, 2012, sabra ahmed kasema…

Shukran kwa kupokea salamu zangu ya habiby wangu mpendwa bin Humud.

                                   IJUMAA KAREEM

Mambo matatu fanya kwakufikiria sana,1Mapenzi,2Maongezi,3Maamuzi

Vitu vitatu havimngoji mtu, 1Mauti, 2Wakati, 3Umri,

Mambo matatu usiyaone mepesi,1Majukumu,2Maradhi,3Deni,

Mambo matatu usipo yafanya ujue ni motoni,1Swala,2Swaumu,3Zaka,

Mambo matatu yafikiri kila mara,1Allah,2Qiyama,3Sadaka,Inshaallah nawe pia uwe miongoni mwa kutekeleza hayo,

          Naiusia nafsi yangu na kuwausia wenzangu pia

          Ni hayo tu rafiki yangu nikupendae kwa dhati.

Saa 7:45pm tarehe February 29, 2012, sabra ahmed kasema…

Fesal bin Humud nakupa furaha zangu kwa 100% na hata ukitaka 300 nipo tayari,Ahsante sana kwa zawadi zako nzuri sana nipezipenda Habiby wangu.

Saa 5:39pm tarehe February 28, 2012, sabra ahmed kasema…

                     Fesal Bin Humud

Aliyekuzaa wewe dua njema namuombea,

Kwani kaleta chema Mungu kamjaalia,

Si rahisi kupatikana katika hii dunia,

Mashaallah Rabii akupe kila jema na maovu akuepushie,Amiin.

Now Playing (Personal)

 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service