Marafiki wa Dikupa'

  • ALSAUDI
  • Ahmed Kijomba
  • eddy
  • Joshua Makau
  • yasser humoud
  • y not?
  • Khamillah
  • MATANO MRISHO
  • kauthar ally
  • muzdatt.
  • Happiness Godwin
  • salmin amar bawaazir.
  • Hayam
  • Umaiyah
  • LADY HEART

Taarab

Loading…

Mijadala ya Dikupa'

UPUPU!

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na bushako Feb 26. 1 Jibu

umwagiwapo upupu, husiti utalalama,hatakama wala supu, midomo utaitema,ukune hadi utupu,japo watu watazama,na usiwajali!usiwajili walipo, akili panapouma,pakera pakuwashapo, karaha mtu-mzima,wajikuna…Endelea

MLA JANA!

Umeanza Feb 19 0 Majibu

mla hasa mla leo, mla jana kala nini,fakhariye simulio, yungali njaa tumboni,mla na maendeleo,leo ana kitu gani,kala nini mla jana,                mla hasa mla leo!haja mkidhi sihaba,hatokoti…Endelea

MAFUTUHA!

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Swaleh Suheil Abeid Jan 29. 2 Majibu

yaweza kuwa shirki, mja kuhofu mauti,ambayo hayamfiki, ila muda na wakati,saa atapo fariki,yumo kwenye harakati,ameshika guruneti,jihadi mwendo mtundo!mwendo mdundo jihadi, rijali…Endelea

BANGO!

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na BABENGWA Jan 20. 1 Jibu

kumbe huba lachakaza, ukapindika mgongo, kwa fikara na kuwaza, hufurumiya msongo, shukurani iwe jaza, mlonitungiya tungo, kunifariji! kunifariji mwenzenu, jela nikiwa kifungo, mkanileteya tunu,…Endelea

Gifts Received

Gift

Dikupa has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

Ukumbi wa Dikupa

Matukio ya Karibuni

Dikupa amezungumzia video ya ZANZIBAR hii hapa
Thumbnail

HISTORIA YA ZANZIBAR ~~UAMSHO 1

"there is nothing modern in TABARRUJ since it dates back to the days of JAHILIYYA."
Apr 16
Dikupa amezungumzia video ya ZANZIBAR hii hapa
Thumbnail

HISTORIA YA ZANZIBAR ~~UAMSHO 1

"barabara kabisa Hussein! umetoka mbali sheikh wangu. Tangu Magole Madrasa kwa Marehemu Mzee Issa, Ukaja kusoma Jabal-Hiraa,na kula Madrasat Alfiqihiyya, nakumbuka na ile Elimu ya Kiislamu kwa Posta uliyoitwaa, ukaja Alharamain kutwa ma-form SIX na…"
Apr 16
bushako amejibu mjadala wa Dikupa 'UPUPU!'
"Dikupa uwakilishe ,     upupu maana yake. msituni tukufikeshe,  kusini na chwaka yake. na muwasho jisafishe,maumivu kawaida yake. supu rahaye ulishwee,hadi chali shibe yake.     pole tena  jamani!!!! pole hiyo…"
Feb 26
Dikupa amejibu mjadala wa murshid 'SIJIGAMBE....'
"umwagiwapo upupu, husiti utalalama, hatakama wala supu, midomo utaitema, ukune hadi utupu,japo watu watazama, na usiwajali! usiwajili walipo, akili panapouma, pakera pakuwashapo, karaha mtu-mzima, wajikuna papohapo,huku unaunguruma, na…"
Feb 26
Dikupa amepongeza mjadala wa murshid 'SIJIGAMBE....'
Feb 25
Dikupa amejibu mjadala wa Bin Rajab 'NDOA'
"Naam!  1. waweza kumwambia babu kiungwana kabisa kuwa "JICHO LANGU PALE HALIJATULIYA" 2. waweza piya kumtafutiya huyo binti, mchumba wa kumuowa ikiwezekana hata ukampendekeza BUSHAKO akafanye nusra hapo. 3. Na kama kwa namna moja au…"
Feb 23
Dikupa amezungumzia video ya Al-zaeem hii hapa
Thumbnail

تنكس ميريام فارس و حبيب الحبيب خلاني YouTube

"Al-A'ARAAB ASHADDU KUFRI WAN NIFAAQ(swadaq LLAHUlL 'Adhwiim)"
Feb 19
Dikupa amejibu mjadala wa BABENGWA 'Makombo !!!'
"mla hasa mla leo, mla jana kala nini, fakhariye simulio, yungali njaa tumboni, mla na maendeleo,leo ana kitu gani, kala nini mla jana,                 mla hasa mla leo! haja mkidhi sihaba,hatukutii…"
Feb 19
Swaleh Suheil Abeid amejibu mjadala wa Dikupa 'MAFUTUHA!'
"Kufa kwako kwa jihadi, kuondoa dhulumati Kwa kifo cha ushahidi, takujazi Jabaruti Na ndio yake ahadi, una tele khairati Utangia jan'nati, ufapo kwenye jihadi Uwe safi wa fuadi, mwenye imani thabiti Uwe kati ya junudi, ulipuwe guruneti Uwe…"
Jan 29
LADY HEART na Dikupa sasa ni marafiki
Jan 27
Al-Udii amepongeza makala ya Dikupa 'KUDAIYANA!'
Jan 26
Dikupa posted a blog post

KUDAIYANA!

AISHA (R.A) AMEELEZA KUWA:“Mjumbe wa Allah alisikia sauti kali za ugomvi nje ya mlango, mmoja wao alimtaka mweziwe apokee sehemu ya deni alilokuwa akimdai na amvumilie kwa kiasi kilicho salia,lakini yule mwingine alisema, ‘WAllah (swt). Sitofanya hivyo! Mjumbe wa Allah alitoka nje na kusema, ‘Yuko wapi anayeapa kwa jina la Allah (swt) kuwa hatofanya amali njema?‘Yule mtu alisikia fedheha aliposikia sauti ya Mjumbe wa Allah, ikimkaripia na kumwonya,; hivyo aliacha madai yake, akisema, ‘Nilikuwa…See More
Jan 25
Dikupa amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Zulefa wangu wa ubani'
"mwenye utajo mkubwa, mwanamke simuwezi, mithili vile ubwabwa, uliwao kwa mchuzi, sinayo huba kukabwa, vishindo vya fumanizi, siviwezi! siwezi hayo malipo,bora nsipate nazi, iliyogongwa na popo,au kuliwa na mwezi, vyema ikibaki hapo, igombaniwe na…"
Jan 25
Dikupa amejibu mjadala wa Swaleh Suheil Abeid 'IFIKAPO SIKU YANGU'
"yaweza kuwa shirki, mja kuhofu mauti, ambayo hayamfiki, ila muda na wakati, saa atapo fariki,yumo kwenye harakati, ameshika guruneti, jihadi mwendo mtundo! mwendo mdundo jihadi, rijali kajidhatiti, Amuitika munadi, wito kwenda jannati, pale afapo…"
Jan 24
BABENGWA amepongeza mjadala wa Dikupa 'BANGO!'
Jan 20
BABENGWA amejibu mjadala wa Dikupa 'BANGO!'
"Bango ! Bango natia hariri Kupamba ling'are mno Huba pasi ujasiri  Huvunja hadi kiuno Jambo nalo tafakari Vyenginevyo mabishano UPO! Usijependa wawili   Ujue ni mvutano Moyo kukubali hili   Mbona ni mvurugano Yataka…"
Jan 20

Profile Information

Asili yako (Ethnicity)
Muafrika
Umri (Age)
umri wangu kwasasa ni adhuhuri/mchana
Urefu (Height)
nlipima zamani shule, sikumbuki
Ndoa (Marital Status)
Natafuta Mchumba
Watoto (Children)
Wanne
Kazi (Occupation)
mwandishi
Burudani (Hobbies)
kushangaa ulimwengu,kutunga mashairi, tachikata, midahalo na ulumbi,kusoma, kujifunza, kuulizwa maswali, kujibu na mengi mengineyo
Dini(Religion)
Muislamu

Picha za Dikupa

Loading…
  • Ingiza Picha
  • Angalia zaidi

Makala za Dikupa

KUDAIYANA!

Imetumwa tarehe January 25, 2012 saa 5:06pm — 0 Maoni

AISHA (R.A) AMEELEZA KUWA:

“Mjumbe wa Allah alisikia sauti kali za ugomvi nje ya mlango, mmoja wao alimtaka mweziwe apokee sehemu ya deni alilokuwa akimdai na amvumilie kwa kiasi kilicho salia,

lakini yule mwingine alisema, ‘WAllah (swt). Sitofanya hivyo! Mjumbe wa Allah alitoka nje na kusema, ‘Yuko wapi anayeapa kwa jina la Allah (swt) kuwa hatofanya amali njema?

‘Yule mtu alisikia fedheha aliposikia sauti ya Mjumbe wa Allah, ikimkaripia na kumwonya,;…

Endelea

MAFISADI HASA NI AKINA NANI TANZANIA?

Imetumwa tarehe October 6, 2010 saa 7:03pm — 3 Maoni


"Kati ya Mwaka 1977 na 1982 hali ya uchumi hapa Tanzania ilididimia sana.Na kwakweli ilifanya maisha ya watu kuwa magumu. Bidhaa za kawaida na muhimu zilitoweka kabisa. Ili watu wapate dawa ilibidi wapitie 'mlango wa nyuma. Rushwa na hongo vilizidi. Mwishoe maneno haya 'mnyonge hana haki' yalizidi kusikika.


Kwanini viongozi wa Kanisa (walikuwa) wanasita kukosoa Serikali na Chama hali wakiona mambo yalivyo?


Wakati…
Endelea

DHANA YA DINI-AINISHO

Imetumwa tarehe September 13, 2010 saa 10:30am — 1 Maoni





Baada ya kusoma maudhui haya, ni matarajio yangu kuwa itakuwa tumeelewana vyema katika kutizama :

  • Maana ya Dini
  • Chimbuko la Dini
  • Tanzu za Dini…
Endelea

Ukumbi wa Salamu(Salamu 23)

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

Saa 10:27pm tarehe November 24, 2010, salmin amar bawaazir. kasema…
waaleikum salam dikupa nashkur sana kwa maneno mazuri..mungu ibariki Tanzania
Saa 1:11am tarehe November 16, 2010, Sumiyati kasema…

Saa 3:21pm tarehe November 14, 2010, Dada Nina original kasema…
Umenichekesha,anyway asante yaonyesha mtu wa visa na vituko.
Saa 11:40am tarehe November 14, 2010, salmin amar bawaazir. kasema…
waaleikum salam dikupa..mola akuzidishie kwa wema ulojaaliwa..na me dua nakuombea na mikono meinua..mola atufanyie wepec kwa kila jambo murua..dar es salamm ntafikia nkirejea nyumbani..ntafikia ilala nijuze nawe ulipo..
Saa 8:32am tarehe November 5, 2010, Sumiyati kasema…

Saa 10:04pm tarehe October 29, 2010, Sumiyati kasema…
a/a. Dikupa,
Ahsante sana kwa shairi nimelipenda.. nimefurahi sana.
Saa 9:31pm tarehe October 4, 2010, Mtanga kasema…
Asalaam Aleykhum. Hujambo! Siye wazima wa afya.
Saa 3:52pm tarehe September 18, 2010, Umaiyah kasema…
A/Alaykum Dikupa
Ahsante sana kwa kunikumbuka.. NIlikuwa busy na wageni ndio ukaniona kimya. Ahsante sana kwa shairi zuri.
Saa 8:19pm tarehe August 22, 2010, Umaiyah kasema…

Saa 11:28am tarehe August 13, 2010, Sumiyati kasema…

Checkers

 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service