Ali Hamad's Groups

Mijadala ya Ali Hamad'

mwisho wa maji ni tope!

Umeanza Apr 15 0 Majibu

Assalaam alykum wapendwa>>, tarehe 14/05/2012 kulifanyika mkutano wa CCM katika maeneo ya Mumbiji kwa Mabata .. viongozi wwaliohutubia mkutano wote walitjikita sana katika kuwatukana viongozi…Endelea

CV UMEIHARIBU

Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na tahiya al riyamy Jan 5. 5 Majibu

NASIKITIKA SANA  CV yako umeiharibu baba CUF ilianza kwa bismillahi wako wapi waliotoka saiv hawatajwi tena na ww unaelekea huko? pole sanaEndelea

ukianza kwa kumtanguliza ALLAH maadui wote wakukimbia

Umeanza Dec 25, 2011 0 Majibu

zamani watu walidhani kuwa CUF (the civic united front) ni chama cha kiislamu coz imeanzishwa kwa jina la bismillahi!pamoja na hayo watu wengi tuliteswa na kuwekwa ndani kwa ajili ya nakala za…Endelea

Gifts Received

Gift

Ali Hamad has not received any gifts yet

Peleka zawadi

 

Ukumbi wa Ali Hamad

Matukio ya Karibuni

Ali Hamad amezungumzia picha ya saada nassor salum hii hapa
Thumbnail

ezekiel8

"hebu ondoka hapo !!! me nakuogopa unatishaaaaaaaa!!!"
Jan 22
Ali Hamad amezungumzia picha ya habibbaty hii hapa
Thumbnail

csf

"LAKIN WAZURI JANI SIFA YAO ME NAWAPA ! wako wapi hee jamni?"
Jan 22
Ali Hamad amezungumzia picha ya Kulwa Faustine Samike hii hapa
Thumbnail

Albino

"INNA LILLAHI .......JAMNI INATISHA!!!!!!!!!!!!!!!!!"
Jan 22
Ali Hamad amezungumzia picha ya KISIGINO hii hapa
Thumbnail

zanzibar train at bububu

"lipo hadi leo? Lilko huko bububu maeneo gani? "
Jan 22
Ali Hamad posted a blog post

HUKUMBUKI TULIKO TOKA WATAZAMA MBELE TUUU??

kwanza natoa salam,< ASSALAAM ALYKUM>Wapendwa wasomaji. Tuliko toka ni mbali sana na hatuna budi kumshukuru M/Mungu .. tulikuwa vipofu wa nchi tusio jua linaloendelea katika nchi  (ZANZIBAR na TANGANYIKA) kwa ushirikiano wa watu walioitakia mema ZANZIBAR walipanga shauri ya kuunda Chama ili kufikisha  ujumbe kwa wannchi wote. Badhi yao walikuwa wafanyakazi walio acha kazi zao na wengine kuacha hata kuwasaidia wanawao kwa kwa kufikisha ujumbe wa kuwa  dhulma tulionao inapaswa tuiondoe!…See More
Jan 7
tahiya al riyamy amejibu mjadala wa Ali Hamad 'CV UMEIHARIBU'
"jamani nikuulizeni hivi huyu HAMAD RASHID kafanya kosa gani?"
Jan 5
Al-Udii amejibu mjadala wa Ali Hamad 'CV UMEIHARIBU'
"Na akae chini atafakari Muda bado anao abadilike na ajitolee kuipigania nchi yake. Jee ataitumiaje nafasi yake ya Ubunge atakaobarikiwa na Mahakama katika bunge atadai Maslahi ya Zanzibar au Ndoo atabakia kulumbana na alokuwa akishirikiana nao,…"
Jan 5
BABENGWA amejibu mjadala wa Ali Hamad 'CV UMEIHARIBU'
"Maamuzi magumu yamepita Mh HAMAD RASHID HAMAD amevuliwa uanachama. Ruhsa iko wazi kama lazima awe mwanasiasa ya kuunda chama chake si CUF tena.Ushauri wa bure arudi kwa ALLAH yakini atampokea ,fedha zake azisafishe kwa wingi wa kutoa sadaka,kujenga…"
Jan 4
bushako amejibu mjadala wa Ali Hamad 'CV UMEIHARIBU'
"japo kuwa hoja yako umeifumbwa , tutajaribu kuifumbuwa kama tumekosea  tusamehe ,   kiukweli bado hatujajuwa nani mkweli , nani sio mkweli, mm nimebahatika kuweka sana bungeni , nafahamu mazingira mengi ya kulee, kiukweli kule…"
Dec 28, 2011
BABENGWA amejibu mjadala wa Ali Hamad 'CV UMEIHARIBU'
"Unaemkusudia hasa ni Mheshimiwa Hamad Rashidi kwa kukurupuka kwakwe kiasi sasa ni kitendawili kizito kimemkabili. Haya ndio masahibu ya Dunia na Maisha ya mja, juzi alikuwa USTADH kesho akawa mlevi mbwa- ndio sikuzote tuombe "husnihatma "…"
Dec 26, 2011
Ali Hamad amezungumzia picha ya Sumiyati hii hapa
Thumbnail

Gaddafi's son Mutassim was also killed in a firefight in Sirte

"maiti haifai kudhalilishwa hiv kweli wanaofanya hivo ni waislamu na wanawafanyia waislam wenzao"
Oct 23, 2011
Ali Hamad amejibu mjadala wa Slim_jr 'Serikali ya mseto znz'
"kwanza nakupa pole sana lakin hata mm niliingia katika siasa katika umri mdogo na pia mm binafsi niliwahi kupigwa kichura kama utakumbuka mika iliopita nikiwa na na miaka 10 mm na baba yangu kutoka msikitin had nyumbani na mengineyo .......... kwa…"
Oct 16, 2011
Ali Hamad amejibu mjadala wa Kidu Ally Hamad 'Jamani hivi kweli matunda ya mseto yapo?'
"kweli matunda ya muungano yapo tena makubwa sana  mwenye macho haambiwi atazame bali hungali mwenyewe wakati wa zamani kabla ya umoja wa kitaifa fitna makazini zilikuwa kubwa kiasi kwamba ukijulikana ww ni cuf basi si rahic ........utamamaliza…"
Oct 16, 2011
Ali Hamad amerekebisha ukumbi
Sep 25, 2011
Ali Hamad amezungumzia picha ya KISIGINO hii hapa
Thumbnail

maandalizi ya karabai

"Allahumma ghfir lahm warham hum, wa'askinuhum fil jannat aaamminn"
Sep 11, 2011
bushako amejibu mjadala wa Ali Hamad 'BEI YA ZAO LA KARAFUU'
"MM IKISEMA KARAFUU ILISHUKA BEI SIKUBALIANI NALOO, KAMA IMESHUKA BEI NA HALINA FAIDA KWA SERIKALI WANGEWASHIA WANANCHI BASI WAUZE WATAKAPO KWA NN WAENDELEE KUWAKAMATA LAZIMA WAUZE KWAO, HIVI KWELI UTAENDESHA BIASHARA HAINA FAIDA TUSAWAFUMBE MACHO…"
Aug 29, 2011

Profile Information

Umri (Age)
25
Urefu (Height)
1.6 m
Ndoa (Marital Status)
Bado Nipo
Watoto (Children)
Sina
Dini(Religion)
Muislamu

Makala za Ali Hamad

HUKUMBUKI TULIKO TOKA WATAZAMA MBELE TUUU??

Imetumwa tarehe January 7, 2012 saa 9:23am — 0 Maoni

kwanza natoa salam,< ASSALAAM ALYKUM>

Wapendwa wasomaji. Tuliko toka ni mbali sana na hatuna budi kumshukuru M/Mungu .. tulikuwa vipofu wa nchi tusio jua linaloendelea katika nchi  (ZANZIBAR na TANGANYIKA) kwa ushirikiano wa watu walioitakia mema ZANZIBAR walipanga shauri ya kuunda Chama ili kufikisha  ujumbe kwa wannchi wote. Badhi yao walikuwa wafanyakazi walio acha kazi zao na wengine kuacha hata kuwasaidia wanawao kwa kwa kufikisha ujumbe wa kuwa  dhulma tulionao inapaswa…

Endelea

Ukumbi wa Salamu

Lazimwa uwe mwanachama wa Zanzibarwebsite ili uweze kutuma Ujumbe

Join Zanzibarwebsite

  • Hakuna Salamu bado!
 
 
 

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service