Ameanzisha Mjadala huu. Jibu la Mwisho na Fesal Humud Fesal May 24. 4 Majibu 1 Pongezi
Abdullmalik amejibu mjadala wa BABENGWA 'kazi ya BABENGWA.'
Fesal Humud Fesal amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Barack Hussein Obama'
Salim R Abdulla amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Barack Hussein Obama'
Mathna Ahmed amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Barack Hussein Obama'
Abdullmalik amezungumzia picha ya ummy salim sheikh hii hapa
Maulid Juma amezungumzia picha ya Abdullmalik hii hapa
Habib AWESI Mohamed amepongeza mjadala wa Abdullmalik 'JEE KWELI WAZANZIBARI NI WAVIVU WA KAZI!!?'
bushako amejibu mjadala wa Abdullmalik 'Liwati ndani ya Shule'
bushako amejibu mjadala wa Abdullmalik 'JEE KWELI WAZANZIBARI NI WAVIVU WA KAZI!!?'
Abdullmalik amezungumzia makala ya Nasren Awadh 'No Title'
Jamilya amezungumzia picha ya Abdullmalik hii hapa
suley amezungumzia picha ya Abdullmalik hii hapaImeingizwa Na Abdullmalik 0 Maoni 0 Pongezi
Imetumwa tarehe February 12, 2012 saa 8:29am — 5 Maoni 2 Pongezi
Ndugu Zangu.
Kwakuwa mimi ni binadamu kama binadamu kama binadamu yoyote yule, udhaifu wangu nimeuona toka mwaka huu kuingia, niweke wazi kwamba mm Abdullmalik Nasser nimepata mke hapa hapa ukumbini udhaifu wangu kwa kwanza ni uchoyo wa kutokualikeni harusi wana ukumbi wenzangu hii nimeifanyia utafiti nikagundua kuwa wivu umechangia kwa hili.
kadhalika sitopenda kumtaja mwenza wangu ila katika masharti yetu…
EndeleaImetumwa tarehe December 13, 2011 saa 9:27am — 0 Maoni 3 Pongezi
Sababu kubwa kuandika mada hii fupi juu ya ukweli ulokithiri ya baadhi ya wapenzi wasiokuwa na malengo, hivyo ndugu usikubali kabisa mtu akuchezee, tafuta mtu mwenye malengo ujue nini kakusudia juu yako isiwe anataka kusogeza siku tu kisha anakupotezea.
Nimefanya uchunguzi wa kina, nikagundua wapenzi wengi hapa kwetu unguja wanapenda uhusiano wa majaribio, je wewe ni wa majaribio? sasa kwa nini basi unamruhusu mtu aingie kwenye historia yako wakati lengo lake ni kupita tu…
EndeleaImetumwa tarehe April 27, 2010 saa 9:00am — 1 Maoni 0 Pongezi
Da! kweli dunia inakwenda pabaya, nilipokuwa mdogo nilikuwa nikimshangaa sana jirani yangu mmoja, yeye alikuwa na tabia kila ikifika asubuhi hupendelea kutembea madukani na akiona mkusanyiko wa watu na yeye hutaka kujipenyeza kuwagandamizia wenzake(wanawake) mara nyingi alipata kashifa hii, kwani ilifika wakati akawa haogopi tena na jambo hili hulifanya wazi wazi, tena kila akiona wanawake waliojazia hapa ndio mfadhaiko humpata kwani hata kama kuna kadamnasi(watu wengi) yeye atajipenyeza…
EndeleaImetumwa tarehe March 21, 2010 saa 10:00am — 8 Maoni 1 Pongezi
Miongoni mwa tatizo kubwa kabisa yanayowakabili wanaume wengi ni kufika kileleni mapema, inasemekana katika wanaume kumi basi saba wana matatizo hili, hizi na takwimu za zisizo rasmi, wengi wanalalamika muda wanaotumia kati ya nusu dakika na dakika mbili, katika hatua ya kwanza wengine ikifika hapo hawana hamasa tena kimahaba.
Ndoa na wapenzi wengi wameachana kutokana na kasoro hii waliyonayo wanaume, wengi wameonekana 'si keki kwa wapenzi wao kwani jambo hili humsababishia…
EndeleaImetumwa tarehe February 28, 2010 saa 10:21am — 1 Maoni 0 Pongezi
Ifahamike mapema kuwa ninapozungumza faida za tendo la ndoa sichochei watu wasio katika ndoa na kuikaribisha zinaa, au kuchochea watu kufanya ngono, ujulikane kuwa ufanyaji wa mapenzi kiholela madhara yake ni hasara kubwa, ewe msomaji fatilia sababu kuu, na faida ya tendo la ndoa kwa masilahi yako, na kama itakuwa kuna mtu hajapendezewa naomba kutanguliza samahani sana.
1: Kiafya
Tendo la ndoa ni moja kati halali zilizo kubalika…
Endelea
Dhikrayat...The Cool & Fine... kasema… aaww
mmmmh bwana wewe, naona tangu siku nilokupa home work ufanye umepotea, sijakuona teeeeeeeeeeeeena.
haya natumai umefanya tulivo zungumza.
nakutakia kila la kheri.
sabra hans kasema… helw abdull mziam wewe habari za muda rafiki..................
kake uwapi naona sikuoni au ushaongeza jiko
kake uwapi naona sikuoni au ushaongeza
kake tuzinduane kabla ya mauti baada ya mauti ni mambo mawili ni kheri au shari-- kunsikiaa kake
RSALIM AL KITANY kasema…
RSALIM AL KITANY kasema… A A W W
NIKO ZNZ NA HII NAMBA YANGU 0776036267
sabra hans kasema…
Fidelister Michael Laswai kasema… mimi ni mwenyeji wa Moshi Kilimanjaro nami nimefurahi kukufahamu.
Ninashukuru sana, nakutakia siku njema
Fidelister Michael Laswai kasema… © 2012 Created by zanzibarwebsite.com.