Chat

Chat ni sehemu nzuri kwa kukutana na watu na kuunga Urafiki.Ukiingia wasalimie waliopo na unaweza kushiriki maongezi kama utavutika.ukitaka kushiriki andika maongezi yako halafu bonyeza ENTER katika keyboard yako. 1.Ukiona mtu hakujibu ujue ana kazi au hayupo. 2.Lazima uwe na subira. 3.Uwe tayari kutaniwa 4.Heshimu Haki za wenzako. 5.Usitumie lugha ya matusi au kijituzima Hadharani. 6.Ubaguzi wa aina yeyote Hauruhusiwi 7.Usiandike au Kutoa taarifa zako za siri katika Chat hata kama upo Chemba. 8.Tumia chemba ili kuongea na mtu binafsi. 9.Kuingia chemba bonyeza jina la Mhusika kisha chagua private chat.


Tafuta nyimbo zaidi kama hizi kwenye Zanzibarwebsite


Find more music like this on G5 world

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service