Permalink Imejibiwa na Hadj Said on September 11, 2011 at 6:40pm
Permalink Imejibiwa na BABY on September 20, 2011 at 1:57pm
Permalink Imejibiwa na Josam on September 11, 2011 at 8:33pm
Permalink Imejibiwa na JOGOOO on September 12, 2011 at 5:12am
Permalink Imejibiwa na babu cholo on September 12, 2011 at 5:47am NAAUNGANA NA WAZANZIBAR WOTE KWA MSIBA MKUBWA ULILIKUMBA TAIFA KWA UZEMBE WA WATU WENYE TAMAA YA PESA BILA KUJALI ROHO ZA BINADAMU,KWANI UWEZO WA CHOMBO HAUANGALIWI BALI HUANGALIA PESA TU,EE JAMANI TUWE NA INAMANI NA HURUMA KWANI ROHO YA BINADAMU HAINA SAMANI YA CHOCHOTE, KILA KITU KITAPITA NA MAREJEO NI MOLA MOWEZA,
VODACOM,VODACOM,VODACOM,TUSUSIE KIBIASHARA,WAO WAMEFURAHI KWA HAYA YALIOTUPA SISI WANZANZIBAR ..EWE MOLA MUWEZA WAWEKE MAITI WOTE KWENYE PEPO YAKO NA WALIUMIA UWAPE UZIMA AMEN RABI AMIN
Permalink Imejibiwa na AMIR SAID AMIR on September 12, 2011 at 6:15am Ni kweli Ndugu yangu, na wala usilaumu VODACOM tu bali hata serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, imefanya hila au ujanja fulani, Kwanini Wizara ya Utalii na maliasili inayoshughulikia mambo haya ya yasiyo yakiungwana dada zetu kupimwa ukubwa wa hips na viuno vyao huku wakipita uchi mbele Hadhira, kwanini wasisitishe haya, ikiwa ni siku hiyohiyo Rais Jakaya Kikwete Alisitisha ziara yake ya kikazi nchini CANADA?
Halafu kwanini hata kugusia kwenye sms kwenda kwa wateja wao hawajafanya kama walivyofanya mashirika mengine?
Laana iwadhibitikie ,wacheza viuno hao na wajue mwisho wao hauko mbali kabla ya vifo vyao wajue ngozi zitakunyaa na kufulia kama beberu kiwete,wao na wafadhali wao - VODACOM.
Nirusha kwa uchungu! hayo kwani BALAA au Janga linapozuka ikawa nafsi haishtuki huko ni kufa kwa moyo na kupoteza imani licha yadini hata hata ubinaadamu unakuwa haupo.
NAMI wazi wazi , moja kwa moja, jino kwa jino naungana na wote wanalaani jambo hilo.
Permalink Imejibiwa na mohamedi njaku on September 12, 2011 at 8:44pm
Permalink Imejibiwa na ForoZanzibar on September 12, 2011 at 10:27pm
Permalink Imejibiwa na bushako on September 13, 2011 at 9:47am INNA LILAHI WAINNA ILAYHI RAJIUUNN
SINA BUDI KUUNGANA NA WANZANZIBAR WENZANGU WOTE KUWA , KUULAAAAAANI KITENDO CHA VODACOM SI CHA UBINADAMU NA KINAIDHALILISHA NCHI YETUU NAOMBA SERIKALI ISIKIE HILI NA IWEZE KUWACHUKULIA HATUWA ZA KINIDHAMU MARA MOJA.
UKITAKA KUMJUWA RAFIKI YAKO WA UKWELI BASI KWENYE DHIKI , AMA SHIDA , AMA MATATIZO , WALITUUONESHA VODACOM NI KUTUTHIBITISHIA KUWA WAO SIO WENZETU NA SS HATUNA HAJA YA KUWA NAO
NINA IMANI SERIKALI YETU NI SIKIVU SANNNNNAA NA WATALIFANYIA KAZI HILI
MWISHO NAPENDA KUWAOMBEA MAJERUHI M/MUNGU AWAPONESHE MARA MOJA INSHALLAH ILI WAJENGE TAIFA LETU
AHSANTE SANA MTOWA MAAADA HII
Permalink Imejibiwa na Bafita International on September 13, 2011 at 9:30pm
Permalink Imejibiwa na Josam on September 14, 2011 at 5:18pm © 2012 Created by zanzibarwebsite.com.