Habari zenu waungwana mie leo napenda kuzungumzia kuhusu selikali yetu hii kwamba inarasilimani za kutosha sawa pia inarasilimani watu.Ambao ni vijana mie napenda kuwaunga mkono Selikali kwa kujitolea kuwafundisha hawa vijana mafunzo ya kijeshi yani hapa namaanisha kwa wale wanapata mafunzo ya JKT pia nawale wa mafunzo ya MGAMBO hawa kwaujumla huitwa jeshi la akiba.Sasa kwa mtazamo wangu mimi kwanini Selikali inapokaa katika bajeti zake isiweke kiasi fulani cha pesa kwa ajili yahawa askali wa akiba,Nasikia kwamba kunavituo vingine havina askali na askaliwapo ambao wanaitwa wa akiba kwanini wasitumike kupunguza uhaba huo wa Askali. Sasa kwavijana hawa wasiachwe mitaani Selikali ingejiwekea utalatibu mzuri basi wangefikiliwa.Hadi sasa wamebadilishwa majina eti wanaitwa Askali mwagamboga sio vizuri napenda Selikali iwafikile hawa.
Kurasa:
Permalink Imejibiwa na bushako on February 13, 2012 at 9:35am NDUGU YANGU HAJI I AHSANRTE KWA MAADA NZURII
ILA NIANZIE HIVII SERIKALI HAITAWEZA KUWAAJIRI WALA KUWACHUKUWA WALE KINA MGAMBO NA WALA JKT, NI VITU 2 TOFAUTI, WALE HUITWA JESHI LA KUJENGA UCHUMI, AU TAIFA , HAWA NI ASKARI WA KUTUNZA USALAMA WA RAIA NA MALI ZAO , UNAONA HAPO NI TOFAUTI ILA SEMA KUWASHIRIKISHA HICHO SIO MBAYA LAKINI KUWATUMIA KAMA NI ASKARI WA KULINDA USALAMA NA MALI ZAO SIO SAHIHI MAANA MAFUNZO NI TOFAUTI ,HUWEZI KUMCHUKUWA MCHEZA MPIRA WA MIKONO UKAMPELEKA MPIRA WA MIGUUU WAKATI MAFUNZO NI TOFAUTI HEHEEH,
ILA SEMA HIVII BAJETI YA WIZARA YA ULINZI PAMOJA NA MAMBO YA NDANI UBORESHWE ILI KUWE NA WAWAJIRI WENGI WA JESHI LA WANANCHI (TPDF) PAMOJA NA JESHI NA POLISI,
WANASEMA SUNGURA MDOGO SASA WATAGAWANA VIPI? NDUGU YANGU HAJII HEHEHEH ,
AHSANTE YANGU NI HAYOO TUU,
NI BUSHAKO BUSHAKIRINA,
Bwana Bushako mi sinatatizo na hili jibu lako kunausemi unasema moto haunzi vuuuuuu hapana kinacho anza ni moshi kwanza halafu kinacho fata vijicheche vidogodogo sasa unaposema eti mafunzo ni tafauti sasa kwanini wanaitwa Jeshi la akiba maana hawa ukisema hawezi chochote tuludi nyuma kipindi cha kumtoa Nduli Iddy A mini Dada walitumika kwa mafunzo hayahaya waliyo pewa na wakasonga mbele. kunausemi unasema hata kama unajua kuendesha gali likija jipya lazima ufundishwe sasa kwa hawa mimi nawezaq kusema ni wanajeshi kabisa kwasababu wameshayapa sema kinacho kua kinabaki ni kupingwa msasa lakini ukiniambia eti mafunzo ni tafauti hilo napinga. ndio maana Jeshini kunakozi mbalimbali lakini awali unapata mafunzo kama haya mimi ninayo ongelea
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.