Kurasa:
Permalink Imejibiwa na KISIGINO on January 11, 2010 at 11:25am
Permalink Imejibiwa na jaa on January 31, 2010 at 5:57pm swali langu kwanini wanzanzibar wabaguzi
Permalink Imejibiwa na jaa on January 31, 2010 at 10:40pm swali langu kwanini wanzanzibar wabaguzi
Permalink Imejibiwa na Al-Udii on January 31, 2010 at 11:20pm swali langu kwanini wanzanzibar wabaguzi
Permalink Imejibiwa na Al-Udii on January 31, 2010 at 11:23pm
Permalink Imejibiwa na KISIGINO on January 12, 2011 at 9:58am
Permalink Imejibiwa na Ali A Z on January 12, 2011 at 2:35pm HII NI SIKU YA HUZUNI
Na V sign ilitumika kuwalazimisha waliofungwa kwenye Magereza wakati wa Mapinduzi.
Nyerere na Muengereza aliwapiga picha na kusambaza ulimwenguni kote kama dalili ya kuwa Mapinduzi yamefanywa na wananchi wote wa Zanzibar.
Napenda na mimi nitoe mchango wangu.
Sura ya Mapinduzi ya Zanzibar ina mtizamo wa nje na ndani.
Ki nje ni kuhalalishwa umuhimu wa tokeo kuwa kweli wazanzibari walichokoa na kutawaliwa na hatua ya mapinduzi yao kumng'oa utawala wa kisultani na kutandika taifa huru lenye mamlaka ya kujiendeshea nchi yao bila ya amri kutoka nje ya utawala huo.Mapinduzi haya ,yalisomeshwa katika skuli ili watoto waelewe hivyo na kutukuza siku hiyo kuwa ni siku ya Ukombozi wa visiwa vyetu chini ya Chama Afro Shirazi Party.
Ki ndani ,wazanzibari wenyewe ndio waliopinduliwa kwani tayari ,Zanzibar ilikuwa taifa huru - kupitia uchaguzi wa kuwa serikali ya mseto- 9desimba 1963.Kilichozuka ni kuangushwa kwa taifa hilo.Ndio Mastermind akiwa ni Muingereza.Ajabu yake hakutimia hata mwaka 26 Aprili 1964, kuzaliwa Muungano na kuwa nchi - Tanzania.Na ndio kabali ya Zanzibar kuanzia muungano wa nchi mpaka kufikia ni sehemu tu ya Tanzania.
Kama faida ipo hapo na kama hasara iko hapo.
Machache ,yangu ni hayo.
Permalink Imejibiwa na Ali A Z on January 15, 2011 at 9:32pm Ahsante Babengwa huo ndio ukweli, Ilikuwa ni Mastermind ya pekee ya kuiondosha zanzibar katika hadhi ya dunia.
Muengereza aliiuwa zanzibar kidogo kidogo na hatimae kuimaliza.
suali ni hili jee zanzibar itarejea na kujiamulia wenyewe?
Mwenyeezi Mungu ndie Mjuzi wa kweli.
© 2012 Created by zanzibarwebsite.com.
Unajuwa wakati wa Mapinduzi Waislamu( si kusudii kama walikuwa Waarabu peke yao ndio waliowekwa vizuizini bali ni waislamu )hapakuwa na Mkristo hata mmoja ndani ya Magereza wakati wa Mapinduzi.
Walikuwa wakilazimishwa kounyesha Sign ya V na kuambiwa lazima wacheke halafu hupigwa picha na kusmbazwa Ulimwenguni ili Waengereza waonyeshe kama kwamba wanachi wamefurahikia Mapinduzi ya kumpindua sultan.
Na unajuwa kama wakikataa kuonyesha Sign ya V walikuwa wakifanywaje?
Walikuwa wakipewa adhabu na kuuliwa na wengi wao masikini walikubali ili wasalimishe roho zao. na walokataa walikuwa wakipigwa risasi au kutiwa vitanzi. Inshallah atawaingiza Peponi kwani walikufa Mashahidi.