Forum Discussions (1,735)

Featured Discussions
Swaleh Suheil Abeid

IFIKAPO SIKU YANGU

Nalia napokumbuka, ifikapo siku yangu Udongo tanifunika, tita liwe juu yangu Siweze tena kutoka, nibakie peke yangu Hiyo ndio siku yangu, t…

imeanzishwa na Swaleh Suheil Abeid katika BurudaniJibu la mwisho

KISIGINO

januwari 12 juwa kuchomoza zanzibar huru sasa jina tanzania . kweli ?

kweli wazanzibari wako huru ?

imeanzishwa na KISIGINO katika Maswali na MajibuJibu la mwisho

ForoZanzibar

Vodacom haijali maisha ya waliozama Zanzibar

Kwa kila alie na uchungu kutokana na msiba wa kuzama kwa Meli na kupotea kwa maisha wa watu zaidi ya mia mbili hapo jana Alfajiri ana wajib…

imeanzishwa na ForoZanzibar katika Mada MsetoJibu la mwisho

Mijadala Majibu Matukio ya Karibuni
Bin Rajab

NDOA

 Mimi ni kijana wa umri wa miaka 27 katika pirika za kimaisha nimepanga mnamo mwaka kesho nianze process za kufunga ndoa lakini suala langu…

imeanzishwa na Bin Rajab katika Mada Mseto

1 dakika 39 zilizopita
Majibu na bushako
bushako

MANJANOO, (TURMERIC ) (CURCUMA) NA FAIDA ZAKE,

ASSALAM ALEYKUM  KWA MARA NYINGINE TENA, NILIAHIDI KUWALETEA FAIDA ZA KIUNGO KINGINE , LEO NAWALETEA MANJANO ; WENGI  WETU TUNAIJUWA MANJAN…

imeanzishwa na bushako katika Mada Mseto

0 masaa 2 yaliyopita
BABENGWA

Makombo !!!

MAKOMBO !! Kila alae makombo   Hujiona kafaidi Wewe ulie mrembo   Hili usilikaidi Walionasa urimbo     Wanalijua zaidi HUJIONA KAFAIDI  KI…

imeanzishwa na BABENGWA katika Burudani

5 masaa 4 yaliyopita
Majibu na BABENGWA
bushako

NIMPE TALAKA , AMA NIMSAMEHE ?

nimeowa mwanamke , wiki mmoja mm nikapata safafi ya kwenda vietnam kikazi, nikamuacha mke wangu znz yupo kwenye hedhi , narudi baada ya mia…

imeanzishwa na bushako katika Mada Mseto

12 masaa 15 yaliyopita
Majibu na Al Mabrouk
Dikupa

MLA JANA!

mla hasa mla leo, mla jana kala nini, fakhariye simulio, yungali njaa tumboni, mla na maendeleo,leo ana kitu gani, kala nini mla jana,     …

imeanzishwa na Dikupa katika Burudani

0 Siku ya Jumapili
HAJI ATHUMANI TUPPA

VIJANA WASIACHWE HIVIHIVI

Habari zenu waungwana mie leo napenda kuzungumzia kuhusu selikali yetu hii kwamba inarasilimani za kutosha sawa pia inarasilimani watu.Amba…

imeanzishwa na HAJI ATHUMANI TUPPA katika Mada Mseto

2 Feb 16
Majibu na HAJI ATHUMANI TUPPA
bushako

CHEUSI AMA CHEUPE KWANZA ?

washauri     nauliza , akili yanizunguka usewaza   nimeuliza, jawabu sijalipata nimepita pia  bakiza,  pamoja na bakita cheupe cheusi kwanz…

imeanzishwa na bushako katika Burudani

0 Feb 15
KISIGINO

CALTURE musical club bado imesimama kidedea ?

imeanzishwa na KISIGINO katika Mada Mseto

4 Feb 13
Majibu na KISIGINO
bushako

NAPENDA

NAPENDA PASI KIFANI       BUSHAKO NIMASHAKANI NAPENDA  KIFUANI            NATEREMKIA  MAPAJANI NAPENDA MI PUNGUANI      CHA MSINGI NAUMIYAA…

imeanzishwa na bushako katika Burudani

4 Feb 11
Majibu na Swaleh Suheil Abeid
bushako

MSHENGAA

naanza kwa bashasha,  maneno  yangu kutoka nimeijaza  bahashaaa,   pomoni  hadi  kufika dhamira yangu tamasha, mchumba kwenda mposa. ma…

imeanzishwa na bushako katika Burudani

0 Feb 11

RSS

© 2012   Created by zanzibarwebsite.com.

Lebo  |  Report an Issue  |  Terms of Service